Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 376
- 127
Kwa wale wanaotaka kununua zao la KAHAWA ya Maganda, muda ni sasa. Kipimo ni Dumla Kwa Sh. 4,000/=
Dumla inatoa kilo moja mpaka kilo mmss..wm,oja na robo ikiwa Kavu. Bei ya kilo Kwa kahawa Kavu ni 7,000/= na hiyo ni bei ya mwaka Jana. Mwaka huu unatarajiwa kuwa zaidi ya hapo.
Mimi nimeshaanza. Tunaweza kuwasiliana.
Ukishanunia kahawa mbichi unakoboa, kisha unaanika. Gharama za kukoboa ni wewe kukubaliana na wenye mashine. Zaidi utafute MTU mzoefu na mkubaliane. Kila la kheri