nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Dogo amefaulu form 4 miez ijayo anatarajia kuondoka, na lazima aondoke,
Mwaka jana mwezi wa 12 nilifanikiwa kufungua salon, ndipo nikamwita dogo aje apige kazi.
Kabla hajaanza kazi nilimpeleka kwa fundi apate kozi fupi bada ya siku 12 nikamwachilia aje aanze kazi,
Mwanzoni alipata changamoto kwani wateja(wateja wangu) hawakumzoea, lakini kwa sasa dogo yupo fiti na wateja kibao, lakini ndo ivyo anatarajia kuondoka.
Pia nilifanikiwa kununua desktop kwa ajili ya kurusha movies mle mle salon, lakini kutokana na wateja kua wengi wa kunyoa computa haina ishu ushauri nilipewa ni kuhamisha pale yani nimtafute dogo wa kazi apige kazi eneo jingine,
Mwenyewe ni mwajiriwa wa taasisi ya mtu binafsi nakua salon wikiend na jioni nikirudi kazini mwenyewe ni fundi mzuri wa kunyoa.
Nimeleta uzi ili nipate ushauri kuhusu hii situation niliyokua nayo dogo atasepa pia natakiwa nimpate fundi mzuri ili asiharibu sifa ya salon.
Samahan kwa mwandiko zigzag