nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
nahitaji kuendelea mkuuAnza kutafuta replacement kama unahitaji kuendelea na biashara ya aina hiyo mkuu.
nanyoa bossWw ni fundi wa kunyoa ama kinyozi. Nyosha maelezo
Recruit mwinginenahitaji kuendelea mkuu
mafundi changamoto mzeeRecruit mwingine
Sasa hata huyo usingekuwa naye siku zote? Ni lazima uwe na plan B.mafundi changamoto mzee
asante mkuuSasa hata huyo usingekuwa naye siku zote? Ni lazima uwe na plan B.
Neno Fundi humu JF lina maana nyingi wengine watadhani mganga wa kienyeji.Dogo amefaulu form 4 miez ijayo anatarajia kuondoka, na lazima aondoke,
Mwaka jana mwezi wa 12 nilifanikiwa kufungua salon, ndipo nikamwita dogo aje apige kazi.
Kabla hajaanza kazi nilimpeleka kwa fundi apate kozi fupi bada ya siku 12 nikamwachilia aje aanze kazi,
Mwanzoni alipata changamoto kwani wateja(wateja wangu) hawakumzoea, lakini kwa sasa dogo yupo fiti na wateja kibao, lakini ndo ivyo anatarajia kuondoka.
Pia nilifanikiwa kununua desktop kwa ajili ya kurusha movies mle mle salon, lakini kutokana na wateja kua wengi wa kunyoa computa haina ishu ushauri nilipewa ni kuhamisha pale yani nimtafute dogo wa kazi apige kazi eneo jingine,
Mwenyewe ni mwajiriwa wa taasisi ya mtu binafsi nakua salon wikiend na jioni nikirudi kazini mwenyewe ni fundi mzuri wa kunyoa.
Nimeleta uzi ili nipate ushauri kuhusu hii situation niliyokua nayo dogo atasepa pia natakiwa nimpate fundi mzuri ili asiharibu sifa ya salon.
Samahan kwa mwandiko zigzag
Muwekee dogo dawa Yani mloge kama vipi hawezi acha ww usiingize pesaDogo amefaulu form 4 miez ijayo anatarajia kuondoka, na lazima aondoke,
Mwaka jana mwezi wa 12 nilifanikiwa kufungua salon, ndipo nikamwita dogo aje apige kazi.
Kabla hajaanza kazi nilimpeleka kwa fundi apate kozi fupi bada ya siku 12 nikamwachilia aje aanze kazi,
Mwanzoni alipata changamoto kwani wateja(wateja wangu) hawakumzoea, lakini kwa sasa dogo yupo fiti na wateja kibao, lakini ndo ivyo anatarajia kuondoka.
Pia nilifanikiwa kununua desktop kwa ajili ya kurusha movies mle mle salon, lakini kutokana na wateja kua wengi wa kunyoa computa haina ishu ushauri nilipewa ni kuhamisha pale yani nimtafute dogo wa kazi apige kazi eneo jingine,
Mwenyewe ni mwajiriwa wa taasisi ya mtu binafsi nakua salon wikiend na jioni nikirudi kazini mwenyewe ni fundi mzuri wa kunyoa.
Nimeleta uzi ili nipate ushauri kuhusu hii situation niliyokua nayo dogo atasepa pia natakiwa nimpate fundi mzuri ili asiharibu sifa ya salon.
Samahan kwa mwandiko zigzag
asante.Kama huyo dogo within 12 days alielewa, tafuta kijana mwingine aende kozi 2 weeks then mlete hapo ofisini kama field kwa moez 3 by the time huyo aliepo anasepa huyo mwingine atakua tayari masta.
Kama unapata changamoto, ongea nae huyo huyo aliepo akutaftie replacement
Hahahaha! Hatari sana. Nyongeza. Atafute fundi mwingine afundishwe kazi. Hofu ya nini! Anaweza kupata fundi mzuri zaidi ya huyo aliyepoBandiko lako ilipaswa lisomeke " Natafuta kijana wakufanya kazi saluni""
Wakija pm sasa ndio muelewane bei na nini