Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpunga wa kununua na kuhifadhi uje kuuza baadae unalipa sana, Kuna mwaka nilikuwa nanunua kule Turiani, gunia kipindi kile ilikuwa 15000, Ni mara chache kukata mtaji, ila Ni faida tu labda ipungue tofauti na Malengo,1. I have a business idea ambayo nimeifanyia kazi na tafiti za kutosha kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu, morogoro kisaki wanalima sana mpunga,kipindi cha mavuno gunia la mpunga wanauza 35,000/= mpaka 45,000/= gunia la debe sita shambani,
Tusiwe watu wa kusikia kila kitu. Nchi yetu ni huru kufanya biashara popote pale uwapo ndani , Nb vigezo na masharti kuzingatiwa.mpunga wa kununua na kuhifadhi uje kuuza baadae unalipa sana, Kuna mwaka nilikuwa nanunua kule Turiani, gunia kipindi kile ilikuwa 15000, Ni mara chache kukata mtaji, ila Ni faida tu labda ipungue tofauti na Malengo,
ILA SASAIVI SIJUI BIASHARA IPOJE, NILISIKIA sasaiv i KUSAFIRISHA MPUNGA NJE ya MKOA KUNA BAADHI YA MIKOA WALIKUWA WANASUMBUA
Hivi Tanzania hawajui kitu kinachoitwa mizani? Ni kwanini vitu kama mpunga, mahindi nk wanauza kwa ujazo mpaka karne hii badala ya kuuza kwa uzito?Samahani ndugu motivesheno spika, unadai umefanya utafiti wa kutosha. Nataka kufahamu 1. Huo utafiti wako ulikua wa muda gani?
2. Ulifanya utafiti katika scale ipi? Yaani ulikua na mtaji kiasi gani na ikakulipa kiasi gani?
3. Je huyo mbia akija na kiasi cha 5M wewe utatoa nini?
4. Ukiachana na hivyo vitabu vya 'motivesheni' ulivyovitaja, je una ufahamu wowote kuhusiana na 'netiwekingi maketingi'?
Asante