Biashara yenye faida nzuri marafiki zako hawatotaka uifanye

1. I have a business idea ambayo nimeifanyia kazi na tafiti za kutosha kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu, morogoro kisaki wanalima sana mpunga,kipindi cha mavuno gunia la mpunga wanauza 35,000/= mpaka 45,000/= gunia la debe sita shambani,
Mpunga wa kununua na kuhifadhi uje kuuza baadae unalipa sana, Kuna mwaka nilikuwa nanunua kule Turiani, gunia kipindi kile ilikuwa 15000, Ni mara chache kukata mtaji, ila Ni faida tu labda ipungue tofauti na Malengo,

ILA SASAIVI SIJUI BIASHARA IPOJE, NILISIKIA sasaiv i KUSAFIRISHA MPUNGA NJE ya MKOA KUNA BAADHI YA MIKOA WALIKUWA WANASUMBUA
 
Tusiwe watu wa kusikia kila kitu. Nchi yetu ni huru kufanya biashara popote pale uwapo ndani , Nb vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Hivi Tanzania hawajui kitu kinachoitwa mizani? Ni kwanini vitu kama mpunga, mahindi nk wanauza kwa ujazo mpaka karne hii badala ya kuuza kwa uzito?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…