Wakuu amani na iwe nanyi. Nahitaji mtu wa kushirikiana naye katika biashara. Awe na mtaji wa fedha kwa ajili ya kununulia bidhaa mimi ninao wateja na connection ya kuupata mzigo. Mahali pa kuupata mzigo ni popote pale ndani ya Tanzania.
Kwanini natafuta partner? Sababu ni kuwa nimeyumba mtaji sina kwa sasa ila nina oda za wateja na wanahitaji mzigo.
Tutazunguka na wewe mwenye pesa ndio utanunua mzigo mwenyewe na tutakutana na mnunuzi na wewe ndo utapokea pesa yako, utahusika na pesa zako mwenyewe na tutaandikishana kisheria.
Faida: utapata kipato kama faida, utaweza kujifunza biashara kwa vitendo, utapata connection na wateja wa nje ya nchi, ni biashara yenye risk ndogo kulingana na mtindo ninao ufanya (yaani tunachukua mzigo baada ya kupata oda), pia ni cash sales no credit sale.