Biashara yenye wateja wa uhakika

Biashara yenye wateja wa uhakika

Kwasasa nina oda za kuuza korosho nyeupe, wateja ni wa uhakika.
Usalama wa pesa zako ni kuwa wewe ndo utahusika kwanzia kununua hadi kuuza ila tutakuwa pamoja kwenye kila hatua.

Faida kwangu nitapata gawio la asilimia hamsini ya faida itayokuwa imepatikana baada ya kutoa matumizi yote, pia nitakuwa nimewatunza wateja wangu. Nawe utapata faida ya asilimia hamsini pia utakuwa umepata connection ya wateja na pia utakuwa umepata ujuzi wa biashara. Korosho bei nayochukulia ni elfu 16 kwa kilo oda niliyonayo ni 1.3 tons. Tunaweza anza na kilo 100 tu kwa safari ya kwanza.

Bidhaa ninazouza ni nyingi sio mazao tu.
Nitafute mwamba
 
Faida: utapata kipato kama faida, utaweza kujifunza biashara kwa vitendo, utapata connection na wateja wa nje ya nchi, ni biashara yenye risk ndogo kulingana na mtindo ninao ufanya (yaani tunachukua mzigo baada ya kupata oda), pia ni cash sales no credit sale.
Je una mpango wa biashara ulio wazi na wenye kueleweka, kamba waweza share nasi hapa jukwaani?

Je una uzoefu (na uaminifu) kwa muda gani katika hii biashara unayozungumzia?

Je tayari umetengeneza makubaliano ya kisheria?
 
Back
Top Bottom