Mtoto Tajiri
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 300
- 173
Vibali vya kuingiza mchele ndio issue
mi ntaongelea kwa china coz thailand sina utaalam nako. kwa china utapata mchele grade yoyote na tani zozote unazotaka bei inaanzia yuan 1.2 ambayo ni kama tsh 300. kuexport container ya 20ft hadi bongo ni average ya dola 2000 inategemea na shipping line. ila kama una mzigo mkubwa ni bora ukakodi meli itakuwa nafuu sana kwako. wengi wanaoingiza cement na nondo huwa wanafanya hiyo option ya kukodi meli. Nakutakia kila laheri
Shukrani kwa wana jamii waliochangia ila naomba kujibiwa kama nilivyouliza na sio mara ooh!kalime morogoro bila kujua mm nipo wapi,pili mm sio mkulima mm ni mfanya biashara
kwa nini usiwekeze kwenye kulima huo mpunga kuna mashamba yanakodishwa mbarari uko na utapata faida kubwa tu.
Shilling inaporomoka tunaagiza sana nje ata kwa vitu vilivyo ndani ya uwezo wetu tunaagiza!!
shukrani kwa wana jamii waliochangia ila naomba kujibiwa kama nilivyouliza na sio mara ooh!kalime morogoro bila kujua mm nipo wapi,pili mm sio mkulima mm ni mfanya biashara
[/color]kwani wakulima na wafanyabiashara wanatofautianaje hebu nijuze kidogo?
tulia uelimishwe acha kuwa jeuriWaungana shida yangu kubwa ilikuwa ni kujibiwa kama nilivyouliza tu!,na vinginevyo!
Shukrani sana mkuu kwa mchanganuo wako ila bado sijajua kama hiyo sh 300 ni kwa kilo ama vp!?
yes mkuu hiyo bei ni kwa kilo