Biashara za China au Thailand

Biashara za China au Thailand

Mtoto Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
300
Reaction score
173
Habari wakuu! Nina wazo siku moja kwenda China au Thailand, ila nilitaka kujua hivi ukichukua mchele contena la futi 20 laweza kukugharimu bei gani hadi linafika bongo maana nimesikia kuwa wao wanauza kwa Tani, kuhusu China bado sijakuwa na idea, Nakaribisha wale wazoefu Please
 
Vibali vya kuingiza mchele ndio issue

Kwangu mm tatizo sio vibali bali nilikuwa nahitaji mchanganuo,mfano contena la futi 20 ni viroba vingapi vinaingia ambazo sawa na tani ngapi then bali ya manunuzi na gharama za usafirishaji!,Natanguliza shukrani mzee
 
Tupe vipimo kamili vya kontena tucalculate ujazo wake au uzito then utadivide kwa gunia la kilo mia uone utakua na magunia mangapi then utazidisha na market price ya mchele (1500) then utapata estimated total revenue then utaminus all expenses ili upate faida. Lakini unatakiwa ujue ni mda gani utakuchukua toka uagize mzigo mpaka uje kuuza wote then kwa wachumi huo mda utautumia kutafuta opportunity cost kwa kufanya comparative analysis ya mda uliotumia kuuza huo mzigo na shuguli ingine ambayo ungeweza kuifanya ndani ya huo mda. ova
 
Money Stunna 23:13 Today
kwa nini usiwekeze kwenye kulima huo mpunga
kuna mashamba yanakodishwa mbarari uko na
utapata faida kubwa tu.
shilling inaporomoka tunaagiza sana nje ata kwa
vitu vilivyo ndani ya uwezo wetu tunaagiza!!

UKO VIZURI SANA NDUGU...ANAWAZA KUINGIZA MCHELE TOKA CHINA HALI MOROGORO ANGEWEZA KULIMA AU KUNUNUA NA AKAUZA KWA FAIDA NZURI TU!!
 
Last edited by a moderator:
Well said MONEY STUNNA
Tatizo letu tz hatuwezi kufanyabiashara ya kuzalisha zaidi ya kufanya uchuuzi. Nipo India new Delhi kwakweli nimejifunza mengi sana naamin narudi nikiwa tofauti. Ila niuzalishaji tu ndo utakao tuokoa kwa Tanzania
 
Watanzania na Tanzania kuendelea ni ngumu sana kama tutategemea imports kila siku.
Mchele si kitu chakuagiza hata kidogo tuna ardhi kubwa sana na nchi yetu duniani ni ya 26 kwa ardhi kubwa .
 
Ni kweli most Tanzanian ni wachuuzi wa bidhaa za wenzetu,ukiamua kufungua labda kiwanda cha kuzalisha sabuni hapa tz.kuna taasisi eg Tfda,TBS,Tra ni balaaa
 
mi ntaongelea kwa china coz thailand sina utaalam nako. kwa china utapata mchele grade yoyote na tani zozote unazotaka bei inaanzia yuan 1.2 ambayo ni kama tsh 300. kuexport container ya 20ft hadi bongo ni average ya dola 2000 inategemea na shipping line. ila kama una mzigo mkubwa ni bora ukakodi meli itakuwa nafuu sana kwako. wengi wanaoingiza cement na nondo huwa wanafanya hiyo option ya kukodi meli. Nakutakia kila laheri
 
mi ntaongelea kwa china coz thailand sina utaalam nako. kwa china utapata mchele grade yoyote na tani zozote unazotaka bei inaanzia yuan 1.2 ambayo ni kama tsh 300. kuexport container ya 20ft hadi bongo ni average ya dola 2000 inategemea na shipping line. ila kama una mzigo mkubwa ni bora ukakodi meli itakuwa nafuu sana kwako. wengi wanaoingiza cement na nondo huwa wanafanya hiyo option ya kukodi meli. Nakutakia kila laheri

Shukrani sana mkuu kwa mchanganuo wako ila bado sijajua kama hiyo sh 300 ni kwa kilo ama vp!?
 
Shukrani kwa wana jamii waliochangia ila naomba kujibiwa kama nilivyouliza na sio mara ooh!kalime morogoro bila kujua mm nipo wapi,pili mm sio mkulima mm ni mfanya biashara
 
Shukrani kwa wana jamii waliochangia ila naomba kujibiwa kama nilivyouliza na sio mara ooh!kalime morogoro bila kujua mm nipo wapi,pili mm sio mkulima mm ni mfanya biashara


Hapo kwenye red kunaonyesha kwa nini hujawaelewa waliokushauri kuwekeza kwenye kilimo.
 
Ushauri mzuri sana huu sijui kama atakuelewa hapa maana yeeye anaona aagize kuliko kuwekeza na kufanya hapa nchini kwake
kwa nini usiwekeze kwenye kulima huo mpunga kuna mashamba yanakodishwa mbarari uko na utapata faida kubwa tu.

Shilling inaporomoka tunaagiza sana nje ata kwa vitu vilivyo ndani ya uwezo wetu tunaagiza!!
 
shukrani kwa wana jamii waliochangia ila naomba kujibiwa kama nilivyouliza na sio mara ooh!kalime morogoro bila kujua mm nipo wapi,pili mm sio mkulima mm ni mfanya biashara


kwani wakulima na wafanyabiashara wanatofautianaje hebu nijuze kidogo?
 
Waungana shida yangu kubwa ilikuwa ni kujibiwa kama nilivyouliza tu!,na vinginevyo!
 
Back
Top Bottom