Biashara za kifamilia ni ngumu na zinaweza kusambaratisha familia nzima

Biashara za kifamilia ni ngumu na zinaweza kusambaratisha familia nzima

hao ni watanzania wana asili ya nchi zingine.. ndio maana mtoa mada amesema why wahindi au wageni wanaweza huku wazawa... hatuwezi.

ushawai ona kampuni ya familia ya watanzania wenye asili ya tanzania . yaani weusi wanafanikiwa na family business

Mtia mada ninakupinga ninao mfano hai wa biashara ya familia issue Ni organisation structure na majukum
Mfano. Standard oil ya David na Albert rockerfellar American
Gsm group Africa ya gharib na said Saad Mohammed Tanzania
Motisun group ya shubhash na jitu Patel Tanzania
Bakhresa group of companies Salim bakhresa and sons Tanzania
METL YA Mohammed and his father's ghulam and azim dewj
Hao hawajui management useme hvyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao ni watanzania wana asili ya nchi zingine.. ndio maana mtoa mada amesema why wahindi au wageni wanaweza huku wazawa... hatuwezi.

ushawai ona kampuni ya familia ya watanzania wenye asili ya tanzania . yaani weusi wanafanikiwa na family business
Hapana hata sis tunaweza mbona WORLD OIL Ni family company na Ni muha wa kigoma huko issue Ni organisation structure na management

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao ni watanzania wana asili ya nchi zingine.. ndio maana mtoa mada amesema why wahindi au wageni wanaweza huku wazawa... hatuwezi.

ushawai ona kampuni ya familia ya watanzania wenye asili ya tanzania . yaani weusi wanafanikiwa na family business
Mkuu wapo wengi tu , Family Business sio lazima iandikwe Limited Company, Zipo family nyingi tu za waTZ wanafanya vizuri sana na pia zipo nyingi tu za wahindi na waarabu ZIME FAIL kabisa baada founders kufariki.

Kikubwa inategemea tangia awali kabisa hiyo familia ililelewa kijasriamali ? Pili taratibu zote za kisheria zilifuatwa ?(umiliki-hisa) Tatu Taratibu za utawala (Corporate Governance), Taratibu za uongozi Organization Structure, mwisho Operation Management. n.k

Taratibu hizo hapo juu zinazingatia uwezo wa mtu(capacity) sio undugu au uzee au mahusiano.
Pia hizo taratibu si laazima ziwe kisomi au kitaalam vile hapana hivyo hivyo kienyeni lakini ukifatilia vizuri role ya huo utaratibu upo na unatendeka ipasavyo.

Changamoto zote alizozieleza zinawezekana kuthibitiwa vizuri sana tu na kampni ikafana vema kwa miaka, japo zingine wataendelea kuishi nazo.

Nitaendelea baadae
 
Back
Top Bottom