Biashara za Kinondoni na sinza

Biashara za Kinondoni na sinza

Kinondoni studio na sinza fremu ya chini ni million 1

Lakini unakuta duka Lina nguo 10 na ukiingia ndani full kiyoyozi na nje mwenye duka kapaki ndinga ya maana

Mimi uwa najiuliza Hawa uwa wanafanya biashara gani pale na wanawezaje kulipa Kodi!!?
Mkuu hata mimi nimetafakari sana, mwishoni nika hitimisha wana shughuli nyingine za kuingiza kipato
 
Sijafanya utafiti ila akili inaniambia ukishakuwa na ofisi kama hizo na unasafiri mwenyewe ni suala la kujiongeza TU Ile inakuwa ni ofisi TU lakini watu Wana mizigo store...siku hizo Kuna mashine nyingi za wachina kama makompresa, washing machines,hata magari so mtu anakuwa na ofisi lakini analeta mizigo mingine aidha Kwa oda au tenda maisha yanasonga Kwa style hiyo we utamwona kama mazingaombwe kumbe ofisi ni ya kuzugia TU na kuimarisha bond na wateja
 
Biashara nyingi za.wanawake huwa na pattern kama hiyo. Unakuta mtu.ana liquour store labda afrika sana nje.ana range.rover halafu mapato na matumizi haviendani.
 
Kinondoni studio na sinza fremu ya chini ni million 1

Lakini unakuta duka Lina nguo 10 na ukiingia ndani full kiyoyozi na nje mwenye duka kapaki ndinga ya maana

Mimi uwa najiuliza Hawa uwa wanafanya biashara gani pale na wanawezaje kulipa Kodi!!?
ngada na jicho
 
Comment nyingi ni negative sijuh wanauza unga sijuh biashara haramu uongo mtupu kwenye biashara iko iv kwa sasa biashara nyingi ni online ko kufungua frame ni kuonyesha tu guarantee kwa wateja wako ila kuuza unaweza ukawa unauza mizigo ya watu kkoo kupitia online ila unafanya hii onekana ni ya dukani kwako..
 
Kua uyaone,duka geresha
 
Uongooooo,huu ni uongoooo
 
Back
Top Bottom