Tuchambulie kidogo Mh..Mashine 10 M.
Kila la kheri
Hii imekaa vizuri. Je wenyeji wanamudu kununua hayo maji ya 200 kwa lita?Ukipeleka Mtwara utafanya vizuri. Kule maji ni ya chumvi, maji ya kunywa wanavuna ya mvua na kuuza
Technically ukiwa na 10 M unaweeza kununua mtambo unaoweza kuchuja lita 250 hadi lita 500,Wakuu kwema.? Anayefahamu biashara hii ya kuuza maji naomba anaifahamishe machache haya:
- Gharama za ununuzi wa machine (mfumo mzima) wa kuchuja maji.
- Gharama za ufungaji wa machine hizo
- -Upatikanaji wa machine hizo.-
- Gharama za uendeshaji.
- Faida ikoje.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.