Biashara za masokoni

Biashara za masokoni

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,746
Reaction score
2,924
Hivi wadau biashara maeneo ya masokoni kwenye mikusanyiko mingi kama mbagala na kkoo hivi kuna uchawi kweli maana watu wanadai pamoja na mkusanyiko mkubwa hawauzi kitu au wanauza tuwili tatu au 4 lakini kuna wengine wanauza balaa
 
Mkuu wewe ni kipofu nini?
 
Back
Top Bottom