kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Hivi wadau biashara maeneo ya masokoni kwenye mikusanyiko mingi kama mbagala na kkoo hivi kuna uchawi kweli maana watu wanadai pamoja na mkusanyiko mkubwa hawauzi kitu au wanauza tuwili tatu au 4 lakini kuna wengine wanauza balaa