Mambo niaje waheshimiwa,
Mimi na mtaji wa 3mil nahitaji kufanya biznes ya mitumba ila bado sijafahamu ni sehemu gani naweza kupata mabelo kwa bei nzuri na quality nzuri pia, vilevile kwa anayejua bei ya mabelo ya jeans za kiume na za kike grade 1 plz aniambie na yale ya viatu vya kiume pia na vya kike...ahsanteni!