Biashara za mitumba

Biashara za mitumba

The Industry

Senior Member
Joined
Sep 1, 2012
Posts
117
Reaction score
30
Mambo niaje waheshimiwa,

Mimi na mtaji wa 3mil nahitaji kufanya biznes ya mitumba ila bado sijafahamu ni sehemu gani naweza kupata mabelo kwa bei nzuri na quality nzuri pia, vilevile kwa anayejua bei ya mabelo ya jeans za kiume na za kike grade 1 plz aniambie na yale ya viatu vya kiume pia na vya kike...ahsanteni!
 
Mkuu salaam
Kuna kipindi tulikuwa tunauza mitumba lakini demand ilikuwa ndogo sana
Unaweza kupata aina yoyote ya mtumba kwa £65 kwa belo la 45kgs
Tutembelee kwenye tovuti yetu

Serengeti Freight

Tuko UK tunaweza kukusaidia kwa hilo
 
Ahsante chris ngoja niwachek kwenye site yenu then tutaongea zaidi
 
Nahitaji maelezo zaidi jamani juu ya hii biashara hii kwani naipenda sana hii biashara
 
Back
Top Bottom