National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Bitcoin na Forex ni real.. tatizo watu ni wajinga wanapigwa.. nipo kwenye forex zaidi ya 7 yeasrBitcoin ni ya kweli lakini mitaani watu walitumia jina kupiga. Mwaka 2011 nilikuwa naona matangazo yake lakini nilipuuza. Ningewekeza leo hii ningekuwa nacheka.