Biashara za Online Zimejaa Matapeli

Biashara za Online Zimejaa Matapeli

Kuna hawa wanajiita aim global in motion,wenyewe wako vipi wakuu
 
mie nimepitia article kadhaa kuhusu hawa aim global in motion,inaonekana kwamba sio scam.....but tatizo ni kwamba zile ahadi wanazopewa wenzetu kwamba ukijoin kwa 500,000 unaanza kutengeneza 69,000 daily ni uongo mtupu.....na hii kampuni ina spread mostly in developing nations ili watupigepesa.mimi nimefatwa Mara nyingi sana ili ni join but ilinichukua siku kama tatu mfufulizo kusoma articles na maoni mbali mbali.finally nikaamua kutemana nao
 
Hao ni wana mfumo wa networking market wanajishuhulisha na uuzaji wa bidhaa kwa hiyo wanatafuta team ya kuwauzia bidhaa zao na kuwatangazia sio Kama hawa wanaojiita makampuni ya online, Kama ulisha wasikia forever living ndio wapo hivo pia.
 
Habarini wanandugu wa JF na poleni na majukumu ya kila siku.

Leo hii nimeona nije na hii thread[emoji411][emoji411][emoji411][emoji411][emoji411] angalau tutoe tongo tongo machoni mwetu.
Huu UZI utaweza kukusaidia Wewe na Mimi tuepukane na hili janga la kuaminishwa kuwa fursa za makampuni ya online businesses yanaweza kututoa kimasomaso kwenye wimbi la umaskini na kuwa na kipato cha kumudu maisha au kuongeza mianya ya kipato.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, Siku hizi kumekuwa na upotoshaji wa baadhi ya watu wanaotushawishi kuingia kwenye biashara za online wakijiita ni makampuni yanayojihusisha na online money, wengi wao wakiwa wanadai wanadeal na currencies hususani virtual currencies kama bitcoins, etherum, zcash, ripple na digital currencies zinazoendana na hizo ambapo platform yake inafahamika kwa jina la crypto currency exchange trade ya digital coin.

kumbuka pia biashara ya sarafu za kidigitali mfano bitcoins ni virtual currencies huwa haina any stakeholders au third parties kulingana na teknolojia yake ilivo kuwa discovered na Nakamoto, hivyo siyo sawa na legal currencies kama USD, EURO, AUD, JPY, TSH n.k. legal currencies zimebeba third parties ikiwemo World Bank ambao ni wadau wakubwa hivyo trust and credibility is inhand ndio maana forex trade is on fire [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] sasa crypto currency trade inakosa hii sifa alafu bado watu wanaamini makampuni ya kitapeli badala ya kutrade wenyewe au kununua Bitcoin na kuuza wenyewe, ndio maana inadeal na virtual currencies na ukitapeliwa au kampuni ikafall definitely unakuwa hunapaku claim au kudai wala pakufia yaani ni maumivu tu [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Hivyo basi uweza kuwashawishi wengi wa watanzania[emoji1241] na hata nimeona nchi nyingi za africa mashariki na hata Congo au niseme Africa kiujumla especially third countries wameona ndio chance ipo vile elimu yao haijapanuka kuhusu information system globally hivyo wameona kuna mapopo wengi wakuwachota pesa fasta na kusepa.

Hivyo waafrika wengi wameingia kwenye huu upepo mchafu wa kitapeli kwa kudanganywa waekeze pesa kwa kuwa part of the company na wanunue shares, wao wanaita packages au vifurushi ambavyo wameeka ununue kwa gharama tofauti tofauti na mwisho wa siku unalipwa kwa percent kadiri ulivowekeza kwa gawio la faida, kitu ambacho Mara nyingi kimekuwa ni udanganyifu na kuwatapeli pesa, wanaodanganywa hutoa pesa eti wawekeze watalipwa na hatimaye mwisho wa siku wanaingizwa mjini live live!!!!!!!!!!!

Hawa Matapeli wengi wao wamekuwa white men kutoka mataifa ya Brazil, Ureno na Mexico na hata Marekani, na uazishwaji wa hizi scam businesses zimekuja baada ya trusted network businesses kuanza Kama forever living company, super life nakadhalika, pia forex trade kushamiri zaidi mtandaoni na kupata influencies za watu ndipo hawa scammer waka anzaa kuwa wengi,

Njia wanazotumia kupata watu na kuwashawishi ni pamoja na social medias Kama whatsup, fb, na Instagram, mfano utaniamini kama umewahi kuona messages za magroup ya whatsup zikitumwa kila mara zikieleza kuna fursa mpya ya biashara, wanajiita majina kama hutley investment, bitclub advantage, vortex, mcc n.k,

Pia njia nyingine ni pale mwenzako aliyeingia anaweza kukushawishi na wewe kiurahisi ukaona ni sahihi ukaingia na wewe pia ukamshirikisha mwingine maana wanawapa hamasa ya kulipwa pale unavyo mshirikisha mtu japo malipo yako unapewa indirectly kwenye account utakayo kuwa nayo, hivyo kutokana na kushirikishana chain itaendelea kuwa kubwa na mwisho mnatapeliwa wote kwa pamoja.

Gear wanayoingia nayo huwa wanakuambia tunadeal na fursa za kuchenjua coin za kidigitali Kama bitcoin, etherum, ripple n.k pia wanadanganyaga sana wanafanya biashara za mafuta, Gold, na hata real estate businesses kitu ambacho ni uongo wa kuingiza watu mjini ili muwaone matajiri na watu wenye basement kubwa kifedha isiyo weza kufilisika kirahisi na mwisho wa siku mwaamini mwekeze kweli kumbe ni trick tu ya kuwapiga pesa.

Sasa wanashawishi unapoekeza unalipwa daily, weekly hata monthly kwa mfano unaambiwa wekeza laki 7 kila siku watukupa elfu 4 na kwa wiki labda elfu 50 na mnalipwa in terms of dollars,

Sasa ni kweli watanzania wamekuwa wakiweka pesa na uki open account unafurahi mpunga unaingia kwa dola au watu wa Arusha tunasemaga kibunda inasoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hata unaweza kulipwa kweli ukawithdraw pesa kwa baadhi ya hayo wanaojiita makampuni lakini sasa huo ni mtego wanawalipa kiaina muje wengi maana huu mfumo pia wanawaambia ni wa network market hivo unaweza pia mshirikisha mwingine ukalipwa, wao wanaita mfumo wa referral bonuses pale utakapoleta mwenzako utapewa hiyo bonus kwa hiyo mtashirikishana mtakuwa wengi oviusly na mukisha jazana kuwekeza ela wanawapiga mapema wanasepa zao wanawaacha kwenye mataa.

Kimsingi hizi kampuni ziko kiupigaji na wanaosema wanawin ni kama 1 kati ya 100 ambao wanajitoa na kutoendelea kuwekeza ila wengi wametapeliwa sana sana.

Kwani nini watu tuendelee kuumizwa kwa kutaka mteremko, nadhani ni muda wa kufanya vitu productive Kama ni Online businesses fanya mwenyewe Kama either utatrade forex ingia sokoni mwenyewe uza na ununue currencies mwenyewe kuliko kuamini mtu.

Amna kitu kibaya kinacho leta umaskini Kama kuwa tegemezi, Hawa jamaa wanataka kusema wao wana skills za kutrade sijui technical skills, lakini hata sisi tukijifunza hatushindwi kufanya wenyewe.
Upo msemo unasema jiamini believe in yourself pia Go confidently in the direction of your dreams, & live the life you have imagine.

Ushauri wangu tuepuke hizi mambo na tufanye vitu productive vya kuonekana tusipende mteremko, pesa zipo Kama tutaamua kuzitafuta mbona riziki mafungu saba.
Yupo jamaa aliwahi sema kuna watu they have rated five star [emoji184][emoji184][emoji184][emoji184][emoji184] but they just have one star [emoji184] because of their greed, wapo wanaojaliwa talanta tano ila wanapata talanta moja sababu ya tamaa zao.

Wakuu mi sina mengi naamini ni wengi wameshatapeliwa na wengine bado wanarudia makosa na kuendelea kutapeliwa kwa sababu ya kuwa na tamaa kuwa greed na amini wapo watakao niunga mkono kukubaliana na Mimi na watakaopinga wapo pia ambao wengi wapo kwenye hizo mambo.

[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji359][emoji359][emoji359][emoji359][emoji359][emoji359][emoji359][emoji359]Mwisho kabisa amna kampuni ya bitcoin inayouza share ambayo ni trusted, 100% ya hizi ni scammers [emoji724][emoji724][emoji724][emoji724][emoji724]

Mi nasemaga ukiona fursa inakufuata jua wewe ndio fursa yenyewe kivyovyote jiandae kupigwa. Kwani nini wewe usifuate fursa, mpaka fursa ikufuate.
Nawasilisha wana JF.
Kweli mkuu mi nilishapigwa kama $12 hivi kwa ajili ya kununua bitcoin, wallet nliyotumia ni mycellium, mule ndani kuna connection za wauzaji na wanunuaji wa hizo BTC wametoa address zao za telegram, ndo kuwasiliana na hao jamaa wakasema nitume kwa paypal then nao wanitumie kwa wallet yangu, nimetuma ndo nasubiria hadi leo, nishpigwa tayari sina ujanja na nimekoma
 
Halafu utashangaa msomi mzima mishipa inamtoka anakwambia hii kampuni imesajiliwa Canada makao yake makuu yapo Vancouver, sasa unajiuliza ulifika huko Canada ukaiona ofisi yao, kwani haiwezekani mtu akawa Manzese akasajili kampuni feki Canada? Hasa wanchuo ndio wanaliwa sana hela za bumu kwa tamaa za kupta mteremko. mimi nasema hivi kwenye "hela watu huwa hawaitani" lidondoke gunia la hela kariakoo hakuna atakaye kupigia simu uje uokote hela kila mtu atataka gunia lote alipate yeye
 
kuna watu walinunua bitcoin @10,000USD WAKIDHANI ITAPANDA ilipopanda hadi 18000usd wakajiona ni vidume wakaendelea kuhold wakidhani labda itafika 40000usd kwa story za kudanganyana vijiweni. Maumivu wanayougulia sasa sio ya dunia hii.
KIZAAZAA NDIO KINAPOANZIA HAPO SASA
 
Habarini wanandugu wa JF na poleni na majukumu ya kila siku.

Leo hii nimeona nije na hii thread📜📜📜📜📜 angalau tutoe tongo tongo machoni mwetu.
Huu UZI utaweza kukusaidia Wewe na Mimi tuepukane na hili janga la kuaminishwa kuwa fursa za makampuni ya online businesses yanaweza kututoa kimasomaso kwenye wimbi la umaskini na kuwa na kipato cha kumudu maisha au kuongeza mianya ya kipato.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, Siku hizi kumekuwa na upotoshaji wa baadhi ya watu wanaotushawishi kuingia kwenye biashara za online wakijiita ni makampuni yanayojihusisha na online money, wengi wao wakiwa wanadai wanadeal na currencies hususani virtual currencies kama bitcoins, etherum, zcash, ripple na digital currencies zinazoendana na hizo ambapo platform yake inafahamika kwa jina la crypto currency exchange trade ya digital coin.

kumbuka pia biashara ya sarafu za kidigitali mfano bitcoins ni virtual currencies huwa haina any stakeholders au third parties kulingana na teknolojia yake ilivo kuwa discovered na Nakamoto, hivyo siyo sawa na legal currencies kama USD, EURO, AUD, JPY, TSH n.k. legal currencies zimebeba third parties ikiwemo World Bank ambao ni wadau wakubwa hivyo trust and credibility is inhand ndio maana forex trade is on fire 💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥 sasa crypto currency trade inakosa hii sifa alafu bado watu wanaamini makampuni ya kitapeli badala ya kutrade wenyewe au kununua Bitcoin na kuuza wenyewe, ndio maana inadeal na virtual currencies na ukitapeliwa au kampuni ikafall definitely unakuwa hunapaku claim au kudai wala pakufia yaani ni maumivu tu 😥😥😥😥😥

Hivyo basi uweza kuwashawishi wengi wa watanzania🇹🇿 na hata nimeona nchi nyingi za africa mashariki na hata Congo au niseme Africa kiujumla especially third countries wameona ndio chance ipo vile elimu yao haijapanuka kuhusu information system globally hivyo wameona kuna mapopo wengi wakuwachota pesa fasta na kusepa.

Hivyo waafrika wengi wameingia kwenye huu upepo mchafu wa kitapeli kwa kudanganywa waekeze pesa kwa kuwa part of the company na wanunue shares, wao wanaita packages au vifurushi ambavyo wameeka ununue kwa gharama tofauti tofauti na mwisho wa siku unalipwa kwa percent kadiri ulivowekeza kwa gawio la faida, kitu ambacho Mara nyingi kimekuwa ni udanganyifu na kuwatapeli pesa, wanaodanganywa hutoa pesa eti wawekeze watalipwa na hatimaye mwisho wa siku wanaingizwa mjini live live!!!!!!!!!!!

Hawa Matapeli wengi wao wamekuwa white men kutoka mataifa ya Brazil, Ureno na Mexico na hata Marekani, na uazishwaji wa hizi scam businesses zimekuja baada ya trusted network businesses kuanza Kama forever living company, super life nakadhalika, pia forex trade kushamiri zaidi mtandaoni na kupata influencies za watu ndipo hawa scammer waka anzaa kuwa wengi,

Njia wanazotumia kupata watu na kuwashawishi ni pamoja na social medias Kama whatsup, fb, na Instagram, mfano utaniamini kama umewahi kuona messages za magroup ya whatsup zikitumwa kila mara zikieleza kuna fursa mpya ya biashara, wanajiita majina kama hutley investment, bitclub advantage, vortex, mcc n.k,

Pia njia nyingine ni pale mwenzako aliyeingia anaweza kukushawishi na wewe kiurahisi ukaona ni sahihi ukaingia na wewe pia ukamshirikisha mwingine maana wanawapa hamasa ya kulipwa pale unavyo mshirikisha mtu japo malipo yako unapewa indirectly kwenye account utakayo kuwa nayo, hivyo kutokana na kushirikishana chain itaendelea kuwa kubwa na mwisho mnatapeliwa wote kwa pamoja.

Gear wanayoingia nayo huwa wanakuambia tunadeal na fursa za kuchenjua coin za kidigitali Kama bitcoin, etherum, ripple n.k pia wanadanganyaga sana wanafanya biashara za mafuta, Gold, na hata real estate businesses kitu ambacho ni uongo wa kuingiza watu mjini ili muwaone matajiri na watu wenye basement kubwa kifedha isiyo weza kufilisika kirahisi na mwisho wa siku mwaamini mwekeze kweli kumbe ni trick tu ya kuwapiga pesa.

Sasa wanashawishi unapoekeza unalipwa daily, weekly hata monthly kwa mfano unaambiwa wekeza laki 7 kila siku watukupa elfu 4 na kwa wiki labda elfu 50 na mnalipwa in terms of dollars,

Sasa ni kweli watanzania wamekuwa wakiweka pesa na uki open account unafurahi mpunga unaingia kwa dola au watu wa Arusha tunasemaga kibunda inasoma 😂😂😂😂 na hata unaweza kulipwa kweli ukawithdraw pesa kwa baadhi ya hayo wanaojiita makampuni lakini sasa huo ni mtego wanawalipa kiaina muje wengi maana huu mfumo pia wanawaambia ni wa network market hivo unaweza pia mshirikisha mwingine ukalipwa, wao wanaita mfumo wa referral bonuses pale utakapoleta mwenzako utapewa hiyo bonus kwa hiyo mtashirikishana mtakuwa wengi oviusly na mukisha jazana kuwekeza ela wanawapiga mapema wanasepa zao wanawaacha kwenye mataa.

Kimsingi hizi kampuni ziko kiupigaji na wanaosema wanawin ni kama 1 kati ya 100 ambao wanajitoa na kutoendelea kuwekeza ila wengi wametapeliwa sana sana.

Kwani nini watu tuendelee kuumizwa kwa kutaka mteremko, nadhani ni muda wa kufanya vitu productive Kama ni Online businesses fanya mwenyewe Kama either utatrade forex ingia sokoni mwenyewe uza na ununue currencies mwenyewe kuliko kuamini mtu.

Amna kitu kibaya kinacho leta umaskini Kama kuwa tegemezi, Hawa jamaa wanataka kusema wao wana skills za kutrade sijui technical skills, lakini hata sisi tukijifunza hatushindwi kufanya wenyewe.
Upo msemo unasema jiamini believe in yourself pia Go confidently in the direction of your dreams, & live the life you have imagine.

Ushauri wangu tuepuke hizi mambo na tufanye vitu productive vya kuonekana tusipende mteremko, pesa zipo Kama tutaamua kuzitafuta mbona riziki mafungu saba.
Yupo jamaa aliwahi sema kuna watu they have rated five star 💎💎💎💎💎 but they just have one star 💎 because of their greed, wapo wanaojaliwa talanta tano ila wanapata talanta moja sababu ya tamaa zao.

Wakuu mi sina mengi naamini ni wengi wameshatapeliwa na wengine bado wanarudia makosa na kuendelea kutapeliwa kwa sababu ya kuwa na tamaa kuwa greed na amini wapo watakao niunga mkono kukubaliana na Mimi na watakaopinga wapo pia ambao wengi wapo kwenye hizo mambo.

🔨🔨🔨🔨🔨🔐🔐🔐🔐🔐🔐🔐🔐Mwisho kabisa amna kampuni ya bitcoin inayouza share ambayo ni trusted, 100% ya hizi ni scammers 🚫🚫🚫🚫🚫

Mi nasemaga ukiona fursa inakufuata jua wewe ndio fursa yenyewe kivyovyote jiandae kupigwa. Kwani nini wewe usifuate fursa, mpaka fursa ikufuate.
Nawasilisha wana JF.

MIIMI NANUNUA NA KUUZA MWENYEWE SO NO PROBLEM. SIWEZI MTU AKANISHAWISHI KWENYE KU MIN
BTCUSDH4.png
 
Kwenye kupitia email zangu leo nikakutana na hii[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
IMG_1069.JPG
IMG_1070.JPG
IMG_1071.JPG
 
Ukiona fursa inakufwata jua wew ndio fursa yenyew.. well said
 
Back
Top Bottom