Biashara za Online Zimejaa Matapeli

Kuna hawa wanajiita aim global in motion,wenyewe wako vipi wakuu
 
mie nimepitia article kadhaa kuhusu hawa aim global in motion,inaonekana kwamba sio scam.....but tatizo ni kwamba zile ahadi wanazopewa wenzetu kwamba ukijoin kwa 500,000 unaanza kutengeneza 69,000 daily ni uongo mtupu.....na hii kampuni ina spread mostly in developing nations ili watupigepesa.mimi nimefatwa Mara nyingi sana ili ni join but ilinichukua siku kama tatu mfufulizo kusoma articles na maoni mbali mbali.finally nikaamua kutemana nao
 
Hao ni wana mfumo wa networking market wanajishuhulisha na uuzaji wa bidhaa kwa hiyo wanatafuta team ya kuwauzia bidhaa zao na kuwatangazia sio Kama hawa wanaojiita makampuni ya online, Kama ulisha wasikia forever living ndio wapo hivo pia.
 
Kweli mkuu mi nilishapigwa kama $12 hivi kwa ajili ya kununua bitcoin, wallet nliyotumia ni mycellium, mule ndani kuna connection za wauzaji na wanunuaji wa hizo BTC wametoa address zao za telegram, ndo kuwasiliana na hao jamaa wakasema nitume kwa paypal then nao wanitumie kwa wallet yangu, nimetuma ndo nasubiria hadi leo, nishpigwa tayari sina ujanja na nimekoma
 
Halafu utashangaa msomi mzima mishipa inamtoka anakwambia hii kampuni imesajiliwa Canada makao yake makuu yapo Vancouver, sasa unajiuliza ulifika huko Canada ukaiona ofisi yao, kwani haiwezekani mtu akawa Manzese akasajili kampuni feki Canada? Hasa wanchuo ndio wanaliwa sana hela za bumu kwa tamaa za kupta mteremko. mimi nasema hivi kwenye "hela watu huwa hawaitani" lidondoke gunia la hela kariakoo hakuna atakaye kupigia simu uje uokote hela kila mtu atataka gunia lote alipate yeye
 
kuna watu walinunua bitcoin @10,000USD WAKIDHANI ITAPANDA ilipopanda hadi 18000usd wakajiona ni vidume wakaendelea kuhold wakidhani labda itafika 40000usd kwa story za kudanganyana vijiweni. Maumivu wanayougulia sasa sio ya dunia hii.
KIZAAZAA NDIO KINAPOANZIA HAPO SASA
 


MIIMI NANUNUA NA KUUZA MWENYEWE SO NO PROBLEM. SIWEZI MTU AKANISHAWISHI KWENYE KU MIN
 
Kwenye kupitia email zangu leo nikakutana na hii[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
 
Ukiona fursa inakufwata jua wew ndio fursa yenyew.. well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…