Nasimamia mimi na mzazi wangu wa kike ikitokea pesa zimetoka unakuta kachukua dada sina la kufanya ndio maana naomba ushaurinani anasimamia hizo biashara?
utaratibu wa kutoa kwenye biashara pesa ukoje?
ikitokea utaratibu ulioupanga umekiukwa ni hatua gani za kuchukua?
naomba ujibu hayo.
Nasimamia mimi na mzazi wangu wa kike ikitokea pesa zimetoka unakuta kachukua dada sina la kufanya ndio maana naomba ushauri
Sawa nitafanya hivyo. Je wakitoa pesa mfano niwafanyajeMkuu hebu simama hapo ulipo. Toa amri hii haitaki mazungumzo wala makubaliano *Mtu yoyote asipewe pesa au bidhaa bila idhini yangu* hata kama ni mzazi mtoe hapo kwa ujanja weka mfanyakazi mwingine.
Mwanzoni watakuchukia ila baada ya miezi 2-6 watazoea tu.
Mtu akikiuka utaratibu chukua hatua na hakufai hapo dukani. Ama kila akiuza kusanya pesa usinunue mzigo hadi abaki na mashelfu tu ufungue kwingine. Kama ni mama unamwambia kuna madeni ya bank nalipa mkopo nilichukua.Sawa nitafanya hivyo. Je wakitoa pesa mfano niwafanyaje
Watatoaje wakati umepiga stop... Msimamizi atakayetoa pesa kwa mtu yeyote tofauti na wewe mpige chiniSawa nitafanya hivyo. Je wakitoa pesa mfano niwafanyaje
kama hiyo biashara mpya atayofungua itafeli na kufa je?Fungua biashara nyingine kisiri halafu hizo mbili ziue kwa makusudi kisha anza kuwalaumu hao wanandugu
kama huwezi kuwalaumu nitakufundisha nipo njema kwa kulaumu
kama hiyo biashara mpya atayofungua itafeli na kufa je?Fungua biashara nyingine kisiri halafu hizo mbili ziue kwa makusudi kisha anza kuwalaumu hao wanandugu
kama huwezi kuwalaumu nitakufundisha nipo njema kwa kulaumu