we jamaa utakuwa huelewi,anachosema ndugu wanafilisi biashara sio hataki kuwasaidia,au uko kwenu mtaji ndio mnakula/mnagawa!?Sawa tu mkuu ulitaka hizo hela uje uwanunulie majeneza ya 1.5m wakifa? Thamini furaha ya ndugu zako mda huu wangali hai.
Kama unabahati ya utajiri unayo tu mkuu!
HahahaFungua biashara nyingine kisiri halafu hizo mbili ziue kwa makusudi kisha anza kuwalaumu hao wanandugu
kama huwezi kuwalaumu nitakufundisha nipo njema kwa kulaumu
Sawa nitatafuta mwanamke mpambanaji nioneHapa ndio unapoona faida ya kuoa mwanamke mpambanaji?Ushaifanya ya familia kwanza kwa kumuweka mama yako, fungua nyingine iwe ya kwako na mtu yoyote asitie mguu kwa kigezo cha kutaka msaada labda kama wanakuja KUNUNUA bidhaa
Wewe bila shaka ni ndugu yake mmojawapo.Sawa tu mkuu ulitaka hizo hela uje uwanunulie majeneza ya 1.5m wakifa? Thamini furaha ya ndugu zako mda huu wangali hai.
Kama unabahati ya utajiri unayo tu mkuu!
Nakupa ushauri wa bure huu kijana, biashara/kampuni ambayo itafanikiwa na kudumu ni ile ambayo haitakua na muingiliana na matatizo yako au ya familia yako, wewe na biashara yako ni vitu viwili tofauti. Ukiweza kuweka mpaka wa biashara zako na matatizo yako binafsi basi lazima itafanikiwa vinginevyo subiri kufirisika tu. Ulishawahi Jiuliza kwa nini biashara/kampuni za watu wngi masikini hufirisika???nani anasimamia hizo biashara?
utaratibu wa kutoa kwenye biashara pesa ukoje?
ikitokea utaratibu ulioupanga umekiukwa ni hatua gani za kuchukua?
naomba ujibu hayo.