Biashara Zanzibar

Joined
Sep 7, 2017
Posts
6
Reaction score
0
Habarini ndugu zangu wana JF Mimi niko Dar es salaam na ninataka kufanya Biashara kutoka Zanzibar na kwa utafiti nimegundua Biashara ya electronics kutoka Zanzibar ni rahisi ila sijui ni electronics zipi haswa na accomodation za kwenda huko na guest itakiwa ni bei gani? Pia kama kuna mtu anaejua Biashara nyingne inayoweza kuwa nzuri huku dar ila stock unanunua Zanzibar naomba ushauri?
 
Ukisema electronics unakuwa too general be specific, Znb kuna vifaa vingi vya electronics. Wewe unataka nini kutoka Znb umeshafanyia research hapo Dsm ni nini unataka kuuza?
 
Kanunue karafuu na ina zanzibari uje kuuza dar
 
Njoo zako accommodation no bei poa sana one night 30,000 ya tz unalala na bidhaa fanya research dar ukija unabeba mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…