Damas Domician
Member
- Sep 7, 2017
- 6
- 0
Habarini ndugu zangu wana JF Mimi niko Dar es salaam na ninataka kufanya Biashara kutoka Zanzibar na kwa utafiti nimegundua Biashara ya electronics kutoka Zanzibar ni rahisi ila sijui ni electronics zipi haswa na accomodation za kwenda huko na guest itakiwa ni bei gani? Pia kama kuna mtu anaejua Biashara nyingne inayoweza kuwa nzuri huku dar ila stock unanunua Zanzibar naomba ushauri?