Biashara zipo changamoto ni mtaji tu

Biashara zipo changamoto ni mtaji tu

mijey

Member
Joined
Mar 16, 2023
Posts
16
Reaction score
15
Jamani Mimi ninako ishi nimeona biashara nyingi lakini nikafuatilia biashara ya kujumlisha vinywaji nikaona inafaida pia shida Ni mtaji tu kwaiyo yeyote mwenye mtaji ambaye amekosa biashara ya kufanya achunguze biashara hiyo

Kama ita mfaa aifanye Kama haita mfaa aachane nayo Cha kwanza kumbuka kuchunguza biashara unayo chagua usikurupike biashara kisa wamesema au nimesema inafaida kwasababu siwezi jua mazingira yako Yanaendeje na biashara hiyo
 
Ni vizuri kusanuana, ila itapendeza endapo utauza simu yako uanze biashara na laki. Usilazimishe watu waishi kwenye mawazo yako
 
Back
Top Bottom