Biashara

Biashara

Uchaguzi unakuja mwakani hapo biashara Kwa hiyo 1 M ni politics tu ugombee uongozi.
Mitano tena Kwa mama,
Nchi inafunguka hata watu wanatafuta business ideas,
They are coming for more ideas
 
Uchaguzi unakuja mwakani hapo biashara Kwa hiyo 1 M ni politics tu ugombee uongozi.
Mitano tena Kwa mama,
Nchi inafunguka hata watu wanatafuta business ideas,
They are coming for more ideas
Asigombee bali amchangie mama fomu ili apate mitano tena, kisha asubiri uteuzi!
 
Biashara ni up and down kila siku ujiandae kujifunza kama uwezi tafuta kazi
Biashara inatakiwa ufanye kama unavyomtokea msichana umpendaee unakua ready kwa lolote..
 
Tafuta kazi kwanza ya kufanya .
Ukipata ndo uje kuomba ushauri ufanye biashara gani...;

Maana kwa hiyo bajeti ya 1M
 
Tafuta kazi kwanza ya kufanya .
Ukipata ndo uje kuomba ushauri ufanye biashara gani...;

Maana kwa hiyo bajeti ya 1M
Zipo mishe anazoweza kufanya kwa iyo pesa sana sana kama yupo mkoani maana kule kupata location ya biashara sio ghali kama dar. Tatizo jamaa hajasema yupo wapi
 
Back
Top Bottom