Biashara

gpblaze

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
304
Reaction score
14
Wajasiriamali naombeni ushauri kwenye kunishauri aina ya biashara ya mtaji mdogo wa tsh laki 2. Mtendaji ni mama mtoto wangu.yuko flexible kiasi anaweza kufanya biashara za aina tofauti.
Mkoa ni dar es salaam
Maeneo ya biashara ni karibu na sinza.au kama naweza kushauriwa kuhusu eneo nitafurahi pia.
 
Aise kwa dar, genge linalipa sana bora ajue kudamkia mapema kariako kuchukua stoke.
 
Kuhusu eneo bado changamoto ila nakaribia kupata.nalokusudia kupata ni kama 5m kwa 3m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…