Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa ni vema kama uta edit bandiko lako ili ueleweke.salaam wana jf.
Naomba usaidizi wa hii biashara ya kubeti nataka kuifanya ila cjui pa kuanzia naomba Mwenye kujua anisaidia .
Natanguliza shukrani kwa wana jf wote
Kama kubeti sikushsuri
Itakuwa ni vema kama uta edit bandiko lako ili ueleweke.
Unataka kubet
Unataka kufungua kampuni ya kubeti
Unataka kuwa wakala au
Edit bandiko lako wengi tukuelewe.