Bibi aliyetunza bikra yake kwa miaka 123

Bibi aliyetunza bikra yake kwa miaka 123

carnage21

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2023
Posts
591
Reaction score
1,382
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 123, Theresia Nyirakajumba, kutoka Nchini Rwanda, amesema toka azaliwe hajawahi kuguswa na mwanaume yeyote, na sasa yupo na tumaini kuwa atampata mwanaume sahihi na ambaye atakuwa tayari kuwa naye maishani.

Ni kweli kuwa kwa sasa wanawake wenye bikra wanahesabika? Kwanini?

Upwiru wa miaka 123 sio mchezo, au ndo kusema ana disorder flan!!🤔 maana kuna wale watu ambao hawako attracted to any sex yan wanaishi tu, Unakuta mtu ana mwaka kabisa hajaonja kitu.

Wale wazee ninawaomba mtafute maconnection huyu bibi mumtoe huo ubikra haraka iwezekanavyo.
FB_IMG_16859545855792277.jpg


#eastafrica Radio
 
Ina maana hana watoto? Kwamba alikuwa na umbo la kawaida au umbo la ajabu? Mtu anaweza kuzaliwa ana uke wa ajabu, tundu tu la kutolea mkojo
 
She must be abnormal at some circumstances, huyo lazima atakuwa Ana kasoro fulani kwenye mwili wake ambazo hataki kuzielezea na ndo zimemfanya awe hivyo mpaka leo hii.

Btw, tutajuaje Kama kweli Ni bikra???
 
Back
Top Bottom