mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
ulisema unapenda mabilinganya 😂kwanini huniamini 😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulisema unapenda mabilinganya 😂kwanini huniamini 😃😃
hukunielewa nlisema nikikua mkubwa😂😂😂ulisema unapenda mabilinganya 😂
Woi.Imemsaidia kuepuka zinaa ambayo ni chukizo kwa Mungu. Hekalu lake liko safi kabisa bwana Yesu anaweza akakaa ndani yake!
Tangu lini kufanya tendo la ndoa ikawa zinaa? Tumeumbwa nazo kwaajili gani.?Imemsaidia kuepuka zinaa ambayo ni chukizo kwa Mungu. Hekalu lake liko safi kabisa bwana Yesu anaweza akakaa ndani yake!
Kwa ajili ya kukojoleaTangu lini kufanya tendo la ndoa ikawa zinaa? Tumeumbwa nazo kwaajili gani.?
Kwa mwanamke Tundu la mkojo na la uzazi ni tofautiKwa ajili ya kukojolea
Du..hebu tupiamo kapicha bossKwa mwanamke Tundu la mkojo na la uzazi ni tofauti
Du..hebu tupiamo kapicha boss
Hebu nipe hizo key words
Aliyekusomesha kapata hasara 😀Hebu nipe hizo key words
MEMKWA nayo unasomeshwa!Aliyekusomesha kapata hasara [emoji3]
Wiki???Mabinti wa sikuhizi hawawezi kutunza bikra hata week!!
Kama umejisomesha umepoteza pesa na muda. Kama una watoto hata wa nursery waambie wakusaidieMEMKWA nayo unasomeshwa!
bibi kapoteza kumbukumbu huyu, miaka 123 sio mchezo.Chai
Weeeeeee...sijapoteza aiss...nimejua kusoma na kutuma meseji!Ila topic ya uzazi ndo inanisumbua!Kama umejisomesha umepoteza pesa na muda. Kama una watoto hata wa nursery waambie wakusaidie