Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 123, Theresia Nyirakajumba, kutoka Nchini Rwanda, amesema toka azaliwe hajawahi kuguswa na mwanaume yeyote, na sasa yupo na tumaini kuwa atampata mwanaume sahihi na ambaye atakuwa tayari kuwa naye maishani.
Ni kweli kuwa kwa sasa wanawake wenye bikra wanahesabika? Kwanini?
Upwiru wa miaka 123 sio mchezo, au ndo kusema ana disorder flan!!🤔 maana kuna wale watu ambao hawako attracted to any sex yan wanaishi tu, Unakuta mtu ana mwaka kabisa hajaonja kitu.
She must be abnormal at some circumstances, huyo lazima atakuwa Ana kasoro fulani kwenye mwili wake ambazo hataki kuzielezea na ndo zimemfanya awe hivyo mpaka leo hii.