Bibi aliyetunza bikra yake kwa miaka 123

Mbona sio kitu cha ajabu icho,tatizo mshaona kumake love ni lazima
 
Hata kama una mpenzi mmoja lakini kama sio mumeo/mkeo ni zinaa hiyo mnafanya au uzinzi
Ni kweli.
Angekuwa na huyo mmoja hamna mahali pamesema anatakiwa kuwa na wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…