Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maandiko yametimia duh ulilenga mulemule ingekuwa ajabu kama mpaka muda wa wa miaka minne bado angekuwa penye fani umri umemktaa.Ame hustle sana..lakini to bad hato kaa kwa muda mrefu katika game..si tu kwaajili ya umri bali aafya pia..nakumbuka Media Day Bonanza alianguka baada ya kuona umati wa watu wakitaka kupiga nae picha .akawa overwhelmed ..alivoshuka jukwaani tu..chaliii..preshaa juu..kuna haja ya mazoezi on top of that hajui umri wake..hua ana guess tu!!