Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Wadau, mimi natatizwa kidogo na matumizi ya maneno bibi ba bwana. Ninavyofahamu, bibi na bwana inatumika kutaja watu wawili wa jinsia tofauti ambao uhusiano wao ni rasmi (i.e Mr and Mrs). Kinachonishangaza ni kwamba utakapotumia mojawapo kati ya bibi au bwana kumtaja mwenza wa mtu fulani (i.e bwana yake au bibi yake) inaonyesha uhusiano fulani ambao sio rasmi. Hii inakuwaje?