Bibi na bwana

Bibi na bwana

Ambassador

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2008
Posts
933
Reaction score
75
Wadau, mimi natatizwa kidogo na matumizi ya maneno bibi ba bwana. Ninavyofahamu, bibi na bwana inatumika kutaja watu wawili wa jinsia tofauti ambao uhusiano wao ni rasmi (i.e Mr and Mrs). Kinachonishangaza ni kwamba utakapotumia mojawapo kati ya bibi au bwana kumtaja mwenza wa mtu fulani (i.e bwana yake au bibi yake) inaonyesha uhusiano fulani ambao sio rasmi. Hii inakuwaje?
 
Ndo ujue haPO kwamba Bibi na Bwana ni kama Samaki na maji...hawatengamanishwi!

Mmoja akimwacha mwngine na kuzurura peke yake ndipo hali hiyo huzuka!

Stick to your spouse!
 
Back
Top Bottom