"Bibi Nisamehe...Najuta"

Amesamehewa...! Magufuli ni chaguo la Mungu..
 
ukishindwa kuamua, utaamuliwa, ulishindwa kuamua ukamuliwa hg na huo ndo msamaha wake
 
Kwani lowasa alikua rais lini na hatimaye u conclude Magufuli ni bora kuliko lowasa?
 
Hivi hatuponezani baada ya kazi nzuri ya kuwaelimisha watanzania umuhimu wa Magufuli na kumpigia kura nyingi?
 
kumbe wewe ni bibi, nilikuwa napoteza muda kujibizana na bibi nikidhani ni mtu mwenye nguvu na akili zote kumbe uzee ndio unakupa mawazo mgando

Tena wewe si ulisha ni pm kuntongoza! :angry:

UKOME, mtatongoza bibi zenu humu.
 
Magufuli anaonekana jembe kwa sababu kikwete aka tezi dume alikuwa ni rais dhaifu
 
yaani sababu ni kwakuwa ameenda wizara ya fedha na muhimbili??? tuna safari ndefu kweli!
 
yaani sababu ni kwakuwa ameenda wizara ya fedha na muhimbili??? tuna safari ndefu kweli!

Rudi juu kasome mstari wa nne kutoka chini, hiyo ndiyo sababu aliyotoa. Hizo sababu zako sijui umezitoa wapi?
 
Nyani Ngabu ungekuja tu kunitukana hapa hapa siyo kwenye reputation, unaogopa nini? Au dhamira inakusuta?
 
Last edited by a moderator:
Fuko lako Mgalatia halihitaji ng'000000 .... Naona unajisogeza kwa Kijana wa IMANI YA KWELI CHINI YA JUA

Huko hunipeleki kwa sasa. Nnaiheshimu sheria ya mtandao ya kutoeneza chuki za kidini kama ufanyavyo.

Hatum-judge mtu kwa dini yake tunam-judge mtu kwa vitendo vyake.
 
Tujenge nchi jamani. Uchaguzi umepita. Haya majeraha inabidi tuyaache yapone. Watu wanahasira na wengine wana furaha. Si vyema kumshambulia mtu mwenye huzuni. Kama unafuraha, shereheka kimya kimya. Tujenge nchi na tulete hoja zenye kutuunganisha.
 
Wengi wnajuta.

Mi nina rafiki zangu niliwaondoa mpaka fb, wananiomba msamaha. Ila mimi sijawasamehe maana walinitukana sana, wengine mpaka kusema eti nina mapepo. Ila mi nachoona mzee mamvi alitumia nguvu za giza.

Maana kuna watu kama akina baergu, lisu na msigwa na akina lema ambao nilikuwa nawaamini ni wapiganaji ila wapi bwana, mamvi aliwashika akili wakawa wanafurahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…