"Bibi Nisamehe...Najuta"

"Bibi Nisamehe...Najuta"

Jamani naomba tumuhurumie huyu mzee inasema hasara alioingia katika kuusaka uraisi tangu 2005 hadi 2015 ni takriban Bil 200, ameuza ng`ombe zaidi ya 2000 na baadhi ya Vijanja vyake, ni hasara kubwa mno! anaugulia mengi mwenzenu
Ww mlala hoi ambaye hat ela ya paracetamol hauna ndo wa kuonewa huruma, yule sio mwenzio ana lipwa na kulindwa kama wazir Mkuu mstaafu,,sasa ww unaye nuka shka?
 
Back
Top Bottom