Bibi Titi Alihifadhi Historia ya Maisha Katika Uhai Wake

Bibi Titi Alihifadhi Historia ya Maisha Katika Uhai Wake

Swadakta kikongwe mwenzangu wa Kariakoo
Mimi...
Nina ombi moja kwako.

Kwangu mimi yote niandikayo hapa nayachukulia kama mambo muhimu katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Kwa ajili hii sifanyi maskhara katika chochote niandikacho.
Hii lugha ya ''kikongwe...Kariakoo'' hapa katika maandishi yangu si mahali pake.

Nakuomba uandike katika lugha inayoaendana na jambo lenyewe.
Nachelea tusitoe picha kuwa hili ni jambo la utani na kutaniana.
 
Back
Top Bottom