Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Dec 15, 2024 #1 BIBI TITI ALIHIFADHI HISTORIA YA MAISHA YAKE KATIKA UHAI WAKE 13.559 Aufrufe · 18 Reaktionen #WasafiDigital #WNews | Wasafi FM
BIBI TITI ALIHIFADHI HISTORIA YA MAISHA YAKE KATIKA UHAI WAKE 13.559 Aufrufe · 18 Reaktionen #WasafiDigital #WNews | Wasafi FM
Mimi Bibi Yenu Mpambanaji Senior Member Joined Oct 6, 2024 Posts 147 Reaction score 303 Dec 15, 2024 #2 Mohamed Said said: [15/12, 03:56] MOHAMED SAID: BIBI TITI ALIHIFADHI HISTORIA YA MAISHA YAKE KATIKA UHAI WAKE [15/12, 03:56] MOHAMED SAID: 13.559 Aufrufe · 18 Reaktionen | BIBI TITI AMEANDIKA HISTORIA YAKE AMBAYO HAKUNA MWINGINE ATAWEZA KUIANDIKA Mzee Mohamed Said Mkazi Wa Ikwiriri Rufiji Akieleza Historia Ya Bibi Titi Mohamed Enzi Za Uhai Wake ‘Bibi Titi Aliondoa Pazia Ikwiriri’ Mohamed Said Ameyasema Hayo Kwenye Tamasha la Bibi Titi Momerial Festival ambapo leo ni kilele cha tamasha hilo Hapa Ikwiriri Rufiji. #WasafiDigital #WNews | Wasafi FM Click to expand... Swadakta kikongwe mwenzangu wa Kariakoo
Mohamed Said said: [15/12, 03:56] MOHAMED SAID: BIBI TITI ALIHIFADHI HISTORIA YA MAISHA YAKE KATIKA UHAI WAKE [15/12, 03:56] MOHAMED SAID: 13.559 Aufrufe · 18 Reaktionen | BIBI TITI AMEANDIKA HISTORIA YAKE AMBAYO HAKUNA MWINGINE ATAWEZA KUIANDIKA Mzee Mohamed Said Mkazi Wa Ikwiriri Rufiji Akieleza Historia Ya Bibi Titi Mohamed Enzi Za Uhai Wake ‘Bibi Titi Aliondoa Pazia Ikwiriri’ Mohamed Said Ameyasema Hayo Kwenye Tamasha la Bibi Titi Momerial Festival ambapo leo ni kilele cha tamasha hilo Hapa Ikwiriri Rufiji. #WasafiDigital #WNews | Wasafi FM Click to expand... Swadakta kikongwe mwenzangu wa Kariakoo
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Dec 15, 2024 Thread starter #3 Mimi Bibi Yenu Mpambanaji said: Swadakta kikongwe mwenzangu wa Kariakoo Click to expand... Mimi... Nina ombi moja kwako. Kwangu mimi yote niandikayo hapa nayachukulia kama mambo muhimu katika historia ya uhuru wa Tanganyika. Kwa ajili hii sifanyi maskhara katika chochote niandikacho. Hii lugha ya ''kikongwe...Kariakoo'' hapa katika maandishi yangu si mahali pake. Nakuomba uandike katika lugha inayoaendana na jambo lenyewe. Nachelea tusitoe picha kuwa hili ni jambo la utani na kutaniana.
Mimi Bibi Yenu Mpambanaji said: Swadakta kikongwe mwenzangu wa Kariakoo Click to expand... Mimi... Nina ombi moja kwako. Kwangu mimi yote niandikayo hapa nayachukulia kama mambo muhimu katika historia ya uhuru wa Tanganyika. Kwa ajili hii sifanyi maskhara katika chochote niandikacho. Hii lugha ya ''kikongwe...Kariakoo'' hapa katika maandishi yangu si mahali pake. Nakuomba uandike katika lugha inayoaendana na jambo lenyewe. Nachelea tusitoe picha kuwa hili ni jambo la utani na kutaniana.