Bibi Titi Mohamed imeshindikana kumfuta katika historia ya Uhuru wa Tanganyika

Bibi Titi Mohamed imeshindikana kumfuta katika historia ya Uhuru wa Tanganyika

Ni nani kwani alikuambia kuna mchakato wa kumfuta Bibi Titi kwenye historia ya Tanzania? Mbona makala zako siku zote zimejaa uanaharakati wa kidini?
Stuxnet,
Nani kaniambia kuhusu kumfuta Bibi Titi kwenye historia?
Hakuniambia mtu ila nimejua mimi mwenyewe.

Soma makala hiyo hapo chini:

Gazeti An-Nuur's Post​


Bint Abdurahman wa Tabora Muhamasishaji wa TANU
Hajatajwa popote katika historia ya Tanganyika
Ila katika kitabu cha Maisha ya Abdulwahid Sykes

Na Mohamed Said

"MIMI Bi. Zarula ni shangazi yangu aliyezaliwa tumbo moja na baba yangu. Amenilea toka nimeacha ziwa mpaka nakuwa na akili najua yeye ndio mama yangu.

Pia nilikuwa ninafahamu wapi alikuwa akificha kadi yake ya TANU. Akija mtu wanafunga milango yote ndio anamuandikia na zilizobaki anazificha uvunguni mwa kitanda.

Nimekuwa kwa miaka mingi nikitafuta picha ya Bi. Zarula bint Abdulrahman wa Tabora, mwanamama ambae alikuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Kama nisingemtaja jina lake katika kitabu cha Abdul Sykes, pengine asingefahamika na historia yake ingepotea.
Ilikuwa katika kuandika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika, mitandaoni ndipo mwanae akasoma jina la mama yake.

Aliniandikia pembeni na akanifahamisha kuwa Bi. Zarula, ni mama yake.

''Waliounganisha na kuviongoza vyama vya wanawake na harakati za kudai uhuru Dar es Saaam, walikuwa Bibi Titi Mohamed na bibi mmoja wa Kimanyema, Hawa binti Maftah. Bibi Hawa bint Maftah, kama kiongozi wa Lelemama”, alijulikana kwa jina la ''Queen.''

Hakuna hata mtu mmoja Tanganyika nzima, mbali na Nyerere mwenyewe, aliyeweza kuifanya TANU kuwa maarufu kama Bibi Titi Mohamed.

Bibi Hawa Maftah, ndiye aliyeiingiza kwa mara ya kwanza nyimbo za Lelemama ziimbwe katika mikutano ya TANU, kama mbinu ya kuhamasisha wananchi kukipenda chama.

Tabora vyama vya wanawake vilikuwapo. Nujum ul Azhar, Waridatil Hubb na Egyptian Club, vilivyo kuwapo chini ya uongozi wa Bi. Nyange bint Chande na Bi. Zarula bint Abdulrahman.

Vyama hivi vya akina mama vilisaidia sana kuipa TANU nguvu katika Jimbo la Magharibi.

Muziki na ujumbe katika nyimbo zilizotungwa maalum kuinua mioyo ya wanachama wa TANU, vilikuwa na athari kubwa, hususani katika wakati ule ambapo serikali ya kikoloni ilimpiga marufuku Nyerere kufanya mikutano ya hadhara.

Ili kuepuka kadhia hiyo, TANU ilikuwa ikiandaa taarab na Nyerere, alikuwa akikaribishwa kama mgeni wa heshima. Nyerere, alikuwa akisimama kufungua hafla na katika kufanya hivyo alisema maneno machache.

Kwa namna hii ule moto wa kudai uhuru ulibaki ukiwaka. Kwa njia hii Nyerere, aliweza kuwasiliana na wananchi. Halikadhalika kupitia taarab, TANU ilikusanya fedha kwa ajili ya harakati.

Bi. Nyange bint Chande, mwanachama wa moja ya vikundi vya Lelemama mjini Tabora, alijitolea nyumba yake kama ofisi ya kwanza ya TANU, katika Jimbo la Magharibi.

Amani Idd, alikuwa muuza kadi za TANU, na baadae alisaidiwa kazi hiyo ya kuuza kadi za TANU na Bi. Zarula bint Abdulrahman. Bi. Zarula alikuwa mmoja wa wajumbe katika mkutano wa Kura Tatu Tabora 1958."

Nimepokea picha ya Bi. Zarula bint Abdulrahman, na ndiyo hiyo inayo onekana. Mwanae kaniandikia maneno hayo hapo chini:

"Zarula bint Abdulrahman wa Tabora aliyesahaulika katika Chama, ambae ndio alikuwa muhamasishaji mkubwa Tabora, na ndio alikuwa akiandika kadi za Chama kwa kina mama kwa uficho.''

1780773519768.png
 
Ni nani kwani alikuambia kuna mchakato wa kumfuta Bibi Titi kwenye historia ya Tanzania? Mbona makala zako siku zote zimejaa uanaharakati wa kidini?
Huyu Ustadhi hadi anatia kinyaa.
 

Siku zote waislamu ucheza na muda kupotosha ..hata sasa Tanzania hakuna kiongozi mzuri na mzalendo aliye active muislamu hata mmoja ila baada ya miaka kupita waislamu watakuja kupotosha ...nikama leo Zanzibar...wazanzibari wanachukia bara kwa sababu walitamani waendelee kuwa chini ya muarabu....cha kushangaza waislamu wa bara wanashindwa kutambua upumbavu wa waislamu wenzao hadi wazanzibari wakasema 👉 kichaa wa Zanzibar ni bora kuliko mashekh wa bara na 👉 nguruwe wa Zanzibar ni bora kuliko muhumini wa bara. Ndiyo watu kama huyu zuzu mleta uzi.
 
Hiyo ni kwa mujibu wa Mohamed Said. Basi sawa. Ila sisi tunafuata mtaala wa Wizara ya Elimu, hizotakataka zako peleka mdrasa
Stuxnet,
Najua roho yako inaungua unaposoma historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.

Ghadhabu zinakupanda na ndiyo sababu unaita kazi ya utafiti wa kisomi yenye ushahidi wa nyaraka na picha "takataka."

Kitabu cha maisha ya Abdul Sykes kingekuwa takataka kisingeingizwa katika Cambridge Journal of African History tena mara tatu kupitia uchambuzi wa maprofesa mabingwa wa historia ya Afrika: John Iliffe, Jonathon Glassman na James Brennan.

Mwaka wa 2011 nilialikwa Northwestern University, Chicago na nilizungumza historia ya uhuru wa Tanganyika mbele ya maprofesa wa African History kutoka vyuo kadhaa vya Marekani Jonathon Glassman na James Brennan wakiwepo.

Mtaala wetu wa historia uko katika shida kubwa ya kujaribu kujirekebisha baada ya ukweli kudhihiri.

Kuna baadhi ya walimu wa huu mtaala wanawasilisna na mimi kutaka maelezo ya yale ambayo hawayajui.

Ukweli ukidhihiri uongok hujitenga.
Ushauri wangu kwako ni huu.

Ondoa hamaki uipe nafasi akili yako kufikiri.

1780915100094.png

Northwestern University, Evanston, Chicago, Illinois,
 
Huyu Ustadhi hadi anatia kinyaa.
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

Sal Davis, An Autobiography, Readit/Amazon, 2023, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.











Huyu Ustadhi hadi anatia kinyaa.
 
Stuxnet,
Najua roho yako inaungua unaposoma historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.

Ghadhabu zinakupanda na ndiyo sababu unaita kazi ya utafiti wa kisomi yenye ushahidi wa nyaraka na picha "takataka."

Kitabu cha maisha ya Abdul Sykes kingekuwa takataka kisingeingizwa katika Cambridge Journal of African History tena mara tatu kupitia uchambuzi wa maprofesa mabingwa wa historia ya Afrika: John Iliffe, Jonathon Glassman na James Brennan.

Mwaka wa 2011 nilialikwa Northwestern university, Chicago na nilizungumza historia ya uhuru wa Tanganyika mbele ya maprofesa wa African History kutoka vyuo kadhaa vya Marekani Jonathon Glassman na James Brennan wakiwepo.

Mtaala wetu wa historia uko katika shida kubwa ya kujaribu kujirejebisha baada ya ukweli kudhihiri.

Kuna baadhi ya walimu wa huu mtaala wanawasilisna na mimi kutaka maelezo ya yale ambayo hawayajui.




Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
Ushauri wangu kwako ni huu.

Ondoa hamaki uipe nafasi akili yako kufikiri.

View attachment 3603572
Northwestern University, Evanston, Chicago, Illinois,
Ni rahisi kuwadanganya watu wa Cambridge na Chicagobna wakakuamini kwa vile uko kwenye mimbari na wao hawajawahi kuja huku kwetu kuhakiki.

Lakini huwezi kutudanganya sisi na historia ya uwongo ya kuwatetea familia yako.
 
Ni rahisi kuwadanganya watu wa Cambridge na Chicagobna wakakuamini kwa vile uko kwenye mimbari na wao hawajawahi kuja huku kwetu kuhakiki.

Lakini huwezi kutudanganya sisi na historia ya uwongo ya kuwatetea familia yako.
Stuxnet,
Ingia Google uwasome John Iliffe, Jonathon Glassman na James Brennan.

Jielimishe kwanza kabla ya kujiingiza katika mijadala.
 
Stuxnet,
Ingia Google uwasome John Iliffe, Jonathon Glassman na James Brennan.

Jielimishe kwanza kabla ya kujiingiza katika mijadala.
Nianze kuwa google wazungu uliowasimulia wewe hisia zako badala ya kusoma historia inayotambuliwa na Taifa langu? You are not serious oldman
 
Nianze kuwa google wazungu uliowasimulia wewe hisia zako badala ya kusoma historia inayotambuliwa na Taifa langu? You are not serious oldman
Stuxnet,
Hujifunzi kwa kuwa Mwalimu ni Mzungu.

Mimi nimesomeshwa na walimu Wazungu, shule ya msingi, sekondari, Chuo Kikuu Dar es Salaam na Uingereza.

John Iliffe alikuwa professor wa historia University of East Africa katika miaka ya 1960/70 na ndiye aliyeandika historia ya Tanganyika.

John Iliffe ndiye alikuwa Mwalimu wa historia wa Aisha "Daisy Sykes" na yeye baada ya kutambua umuhimu wa ukoo wa Sykes katika historia ya Tanganyika alimwambia Daisy aandike Seminar Paper kuhusu babu yake Kleist Abdallah Sykes.

Hii Seminar Paper "The Life of Kleist Sykes," (1968) iko East Africana, Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam na hali kadhalika ni sura, The Townsman Kleist Sykes" katika kitabu alichohariri John Iliffe, "Modern Tanzanians,'' (1973).

John Iliffe akaandika paper, "Dar es Salaam Dockworkers Union," (1970)inayoeleza vuguvugu la tabaka la wafanyakazi wa Tanganyika mwaka wa 1947.

Abdul Sykes akiwa kijana mdogo sana alikuwa mmoja wa viongozi wa harakati hizi.

Huyo ni John Iliffe na historia ya Tanganyika.
 
Huyu Ustadhi hadi anatia kinyaa.
Ustadhi wa kwanza kualikwa kuzungumza Northwestern University, Chicago, chuo kinachoongoza duniani katika African History.

Ustadhi ni bingwa wa historia ya Tanganyika na historia ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 
Back
Top Bottom