Bibi Titi Mohamed na Lucy Lameck

Bibi Titi Mohamed na Lucy Lameck

Tatizo Mzee Said ni udini umekujaa. Angekuwa na jina la kiislamu ungemfahamu kwa haraka na ungesema hata alikuwa jirani na kina Sykes. Ila kwa sababu ni mkristo ndo unaandika kinafiki kuwa humjui.
 
Mama...
Ikiwa udini unakusudia Uislam hakika umenijaa wala hujakosea.

Ikiwa unakusudia udini kama njia ya kudhulumu wasio imani yangu hili nakukatalia.

Yuko mmoja katika hao ni Muislam lakini jina lake silijui.
 
Huyu Mzee alitaka Jamhuri ya kiislam Tanganyika.
 
Huyu dingi ni mdini wa taifa.
Mama...
Ikiwa mimi ni mdini kwa kuandika historia ya uhuru wa Tanganyika kwa ukweli wake wale waliofuta majina ya Waislam katika historia hiyo wewe umewapa sifa gani?
 
Mama...
Ikiwa udini unakusudia Uislam hakika umenijaa wala hujakosea.

Ikiwa unakusudia udini kama njia ya kudhulumu wasio imani yangu hili nakukatalia.

Yuko mmoja katika hao ni Muislam lakini jina lake silijui.
Wewe mwanahistoria wa hovyo kama humjui Lucy Lameck. Huu uzi wako ni kama umejivua nguo tu.
 
Mama...
Ikiwa mimi ni mdini kwa kuandika historia ya uhuru wa Tanganyika kwa ukweli wake wale waliofuta majina ya Waislam katika historia hiyo wewe umewapa sifa gani?
Umeandika historia ya waislamu na sio ya Tanganyika. Kwenye maandiko yako ni uislamu mtupu. Kama humjui Lucy Lameck hiyo historia yako ni takataka.
 
Umesema kweli.
Nimeandika historia ya Waislam.

Kitabu jina lake ni: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism."

Historia ya uhuru wa Tanganyika ilikuwako lakini walioupigania uhuru wenyewe hawakuonekana popote.

Ndiyo mimi nikaandika historia yao.
 
Wewe mwanahistoria wa hovyo kama humjui Lucy Lameck. Huu uzi wako ni kama umejivua nguo tu.
Mama...
Lucy Lameck nikimfahamu vyema ila katika picha ile ya 1955 sikuweza kumtambua.

Watu wengi niliwaonyesha picha ile na wao pia walishindwa kumtambua.
 
Umeandika historia ya waislamu na sio ya Tanganyika. Kwenye maandiko yako ni uislamu mtupu. Kama humjui Lucy Lameck hiyo historia yako ni takataka.
Huyu ni mwana historia wa kiislam sio Tanganyika eti wazee wangu wazee wangu ni wa ovyo tu.
 
Mama...
Lucy Lameck nikimfahamu vyema ila katika picha ile ya 1955 sikuweza kumtambua.

Watu wengi niliwaonyesha picha ile na wao pia walishindwa kumtambua.
Mmejaa udini wa kipumbavu ndo maana mlishindwa kumtambua
 
Mdukuzi,
Inaelekea hujasoma hicho kitabu cha Nyerere (Nyerere Biography) na ikiwa umesoma basi umesahau ulichosoma.

Hilo ulilogusia hapo hayo uliyosema chanzo chake si Dossa Aziz bali ni Abbas Sykes.

Nitakuongezea kitu hapo.

Hata mimi waandishi hao uliowataja walipokuja kunihoji kuhusu Mwalimu waliniuiza kuhusu hilo.

Kasome kitabu hicho.

View attachment 3103785
Kulia Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman na Dr. Ngwaza Kamata
(Picha niliwapiga siku walipokuja kunihoji 2013)

View attachment 3103786
Kitabu kilipotoka Prof. Shivji na timu yake walinizawadia kitabu kwa mchango wangu​
Shivji ni jasusi pandikizi la mda marefu ayeleake info zetu

Hata yeye hajui kwanini anafanya hivyo ni mjinga wa kuzingatiwa, hapaswi kuaminiwa wala kujihusisha Kwenye ushujaa wowote ni mhuni piriod
 
Ukisoma kitabu cha Nyerere hiki cha mwishoni kilichoandikwa na Saida Yahya Othman, Ng’wanza Kamata na Issa Shivji, utamjua zaidi Lucy Lameck na mambo yake.

Kuna wakati mzee mzima alitoka nyumbani bila walinzi wake, kila mmoja akawa na wasiwasi, maana hawajui aliko. Ilikuwa kama vile anatembea tembea tu nyumbani kwake baada ya kurudi nyumbani, ghafla akatoweka.

Walihaha kumsaka, hadi Dossa Aziz, akawashtua. Basi akawaambia, wala wasihangaike kumtafuta mzee mzima, atarudi tu, kwani alikuwa mahali na Lucy Lameck. Ndiyo wakaelewa sasa.

Ova
Ina maana mzee alikuwa ana usingizi pale?
 
Shivji ni jasusi pandikizi la mda marefu ayeleake info zetu

Hata yeye hajui kwanini anafanya hivyo ni mjinga wa kuzingatiwa, hapaswi kuaminiwa wala kujihusisha Kwenye ushujaa wowote ni mhuni piriod
Kwenye issue ya katiba mpya 2014 hata mimisikumuelewa
 
Back
Top Bottom