Bibi Titi Mohamed na Lucy Lameck

Tatizo Mzee Said ni udini umekujaa. Angekuwa na jina la kiislamu ungemfahamu kwa haraka na ungesema hata alikuwa jirani na kina Sykes. Ila kwa sababu ni mkristo ndo unaandika kinafiki kuwa humjui.
 
Mama...
Ikiwa udini unakusudia Uislam hakika umenijaa wala hujakosea.

Ikiwa unakusudia udini kama njia ya kudhulumu wasio imani yangu hili nakukatalia.

Yuko mmoja katika hao ni Muislam lakini jina lake silijui.
 
Huyu Mzee alitaka Jamhuri ya kiislam Tanganyika.
 
Huyu dingi ni mdini wa taifa.
Mama...
Ikiwa mimi ni mdini kwa kuandika historia ya uhuru wa Tanganyika kwa ukweli wake wale waliofuta majina ya Waislam katika historia hiyo wewe umewapa sifa gani?
 
Mama...
Ikiwa udini unakusudia Uislam hakika umenijaa wala hujakosea.

Ikiwa unakusudia udini kama njia ya kudhulumu wasio imani yangu hili nakukatalia.

Yuko mmoja katika hao ni Muislam lakini jina lake silijui.
Wewe mwanahistoria wa hovyo kama humjui Lucy Lameck. Huu uzi wako ni kama umejivua nguo tu.
 
Mama...
Ikiwa mimi ni mdini kwa kuandika historia ya uhuru wa Tanganyika kwa ukweli wake wale waliofuta majina ya Waislam katika historia hiyo wewe umewapa sifa gani?
Umeandika historia ya waislamu na sio ya Tanganyika. Kwenye maandiko yako ni uislamu mtupu. Kama humjui Lucy Lameck hiyo historia yako ni takataka.
 
Umesema kweli.
Nimeandika historia ya Waislam.

Kitabu jina lake ni: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism."

Historia ya uhuru wa Tanganyika ilikuwako lakini walioupigania uhuru wenyewe hawakuonekana popote.

Ndiyo mimi nikaandika historia yao.
 
Wewe mwanahistoria wa hovyo kama humjui Lucy Lameck. Huu uzi wako ni kama umejivua nguo tu.
Mama...
Lucy Lameck nikimfahamu vyema ila katika picha ile ya 1955 sikuweza kumtambua.

Watu wengi niliwaonyesha picha ile na wao pia walishindwa kumtambua.
 
Umeandika historia ya waislamu na sio ya Tanganyika. Kwenye maandiko yako ni uislamu mtupu. Kama humjui Lucy Lameck hiyo historia yako ni takataka.
Huyu ni mwana historia wa kiislam sio Tanganyika eti wazee wangu wazee wangu ni wa ovyo tu.
 
Mama...
Lucy Lameck nikimfahamu vyema ila katika picha ile ya 1955 sikuweza kumtambua.

Watu wengi niliwaonyesha picha ile na wao pia walishindwa kumtambua.
Mmejaa udini wa kipumbavu ndo maana mlishindwa kumtambua
 
Shivji ni jasusi pandikizi la mda marefu ayeleake info zetu

Hata yeye hajui kwanini anafanya hivyo ni mjinga wa kuzingatiwa, hapaswi kuaminiwa wala kujihusisha Kwenye ushujaa wowote ni mhuni piriod
 
Ina maana mzee alikuwa ana usingizi pale?
 
Shivji ni jasusi pandikizi la mda marefu ayeleake info zetu

Hata yeye hajui kwanini anafanya hivyo ni mjinga wa kuzingatiwa, hapaswi kuaminiwa wala kujihusisha Kwenye ushujaa wowote ni mhuni piriod
Kwenye issue ya katiba mpya 2014 hata mimisikumuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…