Bibi Titi Mohammed: Historia, harakati na wasifu wake

Mkuu mimi nayajua pia kupitia kitabu chako hiki,ninacho nilikinunua pale TPH bookshop.Hakika nilpata ilimu ya uhakika sana ingawa bado nina kiu ya kukutana na wewe siku moja.Kabla ya yote,niombe kuuliza mambo mawili.Moja,ilikuwaje barabara ya kuelekea Pugu na Kisarawe ipitie Mliman chuo kikuu? Pili,ni nini ilikuja kuwa hatma ya Abdul Abbas wa Bukoba?
Mie nilikipata kitabu hiki kabla hakijaanza kuuzwa kutoka kwa mwandishi kwakua tulikuwa tunafanya kazi shiirika moja . Huyu mwandishi ukibahatika kukutana naye utafaidi sana maana ana nyaraka za zamani nyingi sana na nzuri kwa kumbukumbu
 
Ipo siku ,siky ambayo kila nafsi itakabiliana na malipo sawia kwa matendo na mawazo yake.Siku ambayo hakuna aijuaye na wala hakuna awezaye kuizuia,tukae tukijua kwamba siku hiyo tutakuwa kimya kukabiliana navukweli.Hakuna atakayeweza kutambua mateso wala furaha tutakayokuwa tunakabiliana nayo isipokuwa sisi na Mungu tu.Natamani nitende yaliyo mema lakini nitawezaje katika dunia hii iliyojaa kila aina ya uovu?

Bali...
Mwisho wa Adam Nasib ulikuwa wa kusikitisha sana.
Ilikuwaje shehe?
 
Ipo siku ,siky ambayo kila nafsi itakabiliana na malipo sawia kwa matendo na mawazo yake.Siku ambayo hakuna aijuaye na wala hakuna awezaye kuizuia,tukae tukijua kwamba siku hiyo tutakuwa kimya kukabiliana navukweli.Hakuna atakayeweza kutambua mateso wala furaha tutakayokuwa tunakabiliana nayo isipokuwa sisi na Mungu tu.Natamani nitende yaliyo mema lakini nitawezaje katika dunia hii iliyojaa kila aina ya uovu?

Ilikuwaje shehe?
Hayasemeki.
Ila alikufa usiku na asubuhi ilibidi wafanye haraka kumzika.
 
Nashukuru shehe,inasikitisha sana.
Bai...
Wote wale ambao walikaa wakatumika katika kupiga vita umoja wa Waislam
na kumpiga vita Sheikh Hassan bin Amir walidhalilika kabla hawajafa huku
Waislam wakiwaona hali zao za udhalili.

Wako waliosimama katika misikiti wakajuta na kueleza yote ya siri yaliyopitika
na wako waliosafiri hadi Zanzibar na kumuomba radhi Sheikh Hassan bin Amir.
 
Hayo ndiyo majuto yao kwa kuusaliti ukweli.Mkuu ,usaliti una malipo machungu sana.
 
Uhuru wetu na Bibi Titi Mohamed

Uhuru+pic.jpg

Mmoja wa waasisi wa Tanu, Bibi Titi Mohamed akihutubia mkutano wa hadhara wakati wa harakati za uhuru wa Tanganyika. Picha ya Maktaba

Kwa ufupi
Ingawa hakuna jitihada za makusudi kuhakikisha jina hili halisahauliki, mzimu wa mama huyu unajitokeza na kuendelea kutuchokoza ili tuendelee kuchimba, kutafiti hadi ukweli uwekwe wazi na mama huyu apate heshima na nafasi kubwa miongoni mwa waasisi wa taifa letu.

By Padri Privatus Karugendo
 
Vichwa vyetu ni vya wendawazimu hadi ikulu tunaipa jina la mabepari wakati akina bibi hawa majina yao yanasahaulika… kila kitu ni Mwl utadhani wengine walikuwa si watu .soon tutakuwa na majina ya mitaa baada ya postcode subirini mazingaombwe ya majiji yetu watakavyojibariki
 
Tunaaminishwa kwamba TANU ilikuwa ya Baba tu hawa waasisi wengine tunasahaulishwa kwa makusudi
 
Katika mazungumzo ya hapa na pale ya watangazaji wa clouds fm, majibizano kati ya Gadner Habashi na Efraim Kibonde mwaka 2013 yalifanya nifuatilie legitimacy ya alichokuwa akisema bwana Kibonde kwamba Biti Titi Mohammed alileta ubishi mbele ya mwalimu Nyerere, na akaambulia kibao cha shavu la kushoto na Mwalimu Nyerere kujishtukia baadae kwamba alichofanya ni sawa lakin si kwa njia ile,

Kama kawaida yangu nikachimba kwenda kwa wazee wengi wenye busara kujua ukweli wa habari hii,

Maana hata kama habari Haina ukweli lakin imesikika katika chombo cha habari maarufu sana hata kama haikuwa habari kamili, ila ni mazungumzo ndani ya chombo hicho,

Nikamuuliza mzee mmoja ambaye amehudumu ikulu kwa muda mrefu R.I.P na sitamtaja jina,

Alinijibu hivi, bwana unashangaa kofi tu kwa Biti Titi? Nyerere alikuwa rais kweli na si mfano wa rais, angekufanya chochote kile na ukashindwa cha kufanya maana ukiangalia unakuwa kwenye upande wa makosa,

Suala la Biti Titi ni kwamba kuna maagizo alipewa akafanye nje ya nchi akaenda kinyume na maagizo ya boss wake, lakin akaomba ushauri kwa watu mbali mbali jinsi ya kumuingia Nyerere na kumueleza hasara Ile na ukweli ni kwamba kwa kosa lile Titi alistahiri adhabu kubwa mno, ila alipewa heshima kwa sababu ni mmama pekee aliyejitoa kwa nchi hii katika ukombozi, hivo suala la kofi sipendi kuliongelea zaidi,"

Akaendelea

" usiangalie mambo ya kofi angalia hata taifa lilipata hasara gani kwa wakati huo,
Pia mbona siyo Biti Titi tu, kuna wakuu wa wilaya waliwahi kurushiwa stepple machine kisa mauaji yaliyoendelea nchini mwao, kuna wakuu wa shule walichapwa viboko kwa kutuhumiwa ulevi, na kuharibu Mirada ya shule, ila habari hizo zilikuwa kimya kimya,"

Nyerere alikuwa ana kaa ikulu katika corridor fulan ndefu yenye zuria jekundu, alafu unapoingilia mlango unamuona kulee anakuangalia aangalii Pembeni, ukiwa na kosa ukaitwa na Nyerere ikulu, mtihani ulikuwa uanze mguu gani kuingia kwenye corridor, maana mpaka unamfikia anakuangalia una loose confidence,

Kwa kifupi Yule mzee alikuwa mkali sana, lakin hakuonea mtu alikuwa mkali kwa mambo ya msingi"

Britannica
 
siku zote katika maisha mzani unapozidi kwenye mema its gud but mabaya hayaepukiki cause no body is perfect.
 
Nyerere alikuwa na udini hata kama mtu utabisha nenda kafatilie siyo kwa kusoma hizi historia zilizopikwa. Na alikuja mfunga had huyu bibi titi wakenya wakaja muomba amwachie.
 
Katika mazungumzo ya hapa na pale ya watangazaji wa clouds fm, majibizano kati ya Gadner Habashi na Efraim Kibonde mwaka 2013 yalifanya nifuatilie legitimacy ya alichokuwa akisema bwana Kibonde kwamba Biti Titi Mohammed alileta ubishi mbele ya mwalimu Nyerere, na akaambulia kibao cha shavu la kushoto na Mwalimu Nyerere kujishtukia baadae kwamba alichofanya ni sawa lakin si kwa njia ile,

Kama kawaida yangu nikachimba kwenda kwa wazee wengi wenye busara kujua ukweli wa habari hii,

Maana hata kama habari Haina ukweli lakin imesikika katika chombo cha habari maarufu sana hata kama haikuwa habari kamili, ila ni mazungumzo ndani ya chombo hicho,

Nikamuuliza mzee mmoja ambaye amehudumu ikulu kwa muda mrefu R.I.P na sitamtaja jina,

Alinijibu hivi, bwana unashangaa kofi tu kwa Biti Titi? Nyerere alikuwa rais kweli na si mfano wa rais, angekufanya chochote kile na ukashindwa cha kufanya maana ukiangalia unakuwa kwenye upande wa makosa,

Suala la Biti Titi ni kwamba kuna maagizo alipewa akafanye nje ya nchi akaenda kinyume na maagizo ya boss wake, lakin akaomba ushauri kwa watu mbali mbali jinsi ya kumuingia Nyerere na kumueleza hasara Ile na ukweli ni kwamba kwa kosa lile Titi alistahiri adhabu kubwa mno, ila alipewa heshima kwa sababu ni mmama pekee aliyejitoa kwa nchi hii katika ukombozi, hivo suala la kofi sipendi kuliongelea zaidi,"

Akaendelea

" usiangalie mambo ya kofi angalia hata taifa lilipata hasara gani kwa wakati huo,
Pia mbona siyo Biti Titi tu, kuna wakuu wa wilaya waliwahi kurushiwa stepple machine kisa mauaji yaliyoendelea nchini mwao, kuna wakuu wa shule walichapwa viboko kwa kutuhumiwa ulevi, na kuharibu Mirada ya shule, ila habari hizo zilikuwa kimya kimya,"

Nyerere alikuwa ana kaa ikulu katika corridor fulan ndefu yenye zuria jekundu, alafu unapoingilia mlango unamuona kulee anakuangalia aangalii Pembeni, ukiwa na kosa ukaitwa na Nyerere ikulu, mtihani ulikuwa uanze mguu gani kuingia kwenye corridor, maana mpaka unamfikia anakuangalia una loose confidence,

Kwa kifupi Yule mzee alikuwa mkali sana, lakin hakuonea mtu alikuwa mkali kwa mambo ya msingi"

Britannica
Hamna lolote swala alikuwa anahami sana imani yake ukitaka umkosee sana basi wewe tafuta usawa ndio utamjuwa
 
Kwani wakati huo mahakama zilikuwa hakuna hataachukue maamuzi ya kupigana kibao ukiona kiongozi anamuadhibu mtu kwakuchukua sheria mikonononi ujuwe hapo kwakiasi kikubwa niuonezi wapo watu wanalipwa kwakazi yakujuwa nani anakosa adhabu yake nini sio kupiga kibao
 
Back
Top Bottom