Bibi wa miaka 50 afariki akiwa kwenye foleni ya kupiga kura KENYA

M.Kwidohya

Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
61
Reaction score
7
Bibi wa miaka 50 ameanguka baada ya kusimama kwa muda mwingi akiwa anasubiri time yake ya kwenda kupiga kula alipofikishwa hospital alikuwa ameshaaga dunia.
Ni kitu gani tunajifunza hapo? Huyo bibi walishwndwa kumpisha ni utalatibu gani ambao wazee na walemavu wameekewa ni lazima tuwape vipaumbele, wote tuna haki sawa ya kupiga kura
 
50 yrs bibi??mpk aanguke kwa ajili ya uzee??too much..Nahis alikuwa na magonjwa yake
 
Miaka 50 anaitwa bibi? Au nimekosea!! Yes anaweza kuwa na wajukuu kwa wale waloolewa mapema!! Ila kwa hapa bongo 50 years ni vijana kabisa!!
 
Unajua hii ni lugha ya kenya may be..mke/ Mwanamke anaitwa bibi..otherwise we need to change our lifestyle zinatuzeesha mapema
 
Hujawahi kusikiliza tamthilia za kenya hata mwanamke mwenye miaka 30 anaitwa bibi?
 
Nadhani alikuwa mgonjwa au matatizo mengine mpaka akaanguka siyo uzee.
 
Bibi wa miaka 50 ameanguka baada ya kusimama kwa muda mwingi akiwa anasubiri time yake ya kwenda kupiga kula alipofikishwa hospital alikuwa ameshaaga dunia.
Ni kitu gani tunajifunza hapo? Huyo bibi walishwndwa kumpisha ni utalatibu gani ambao wazee na walemavu wameekewa ni radhima tuwape vipaumbele, wote tuna haki sawa ya kupiga kula
miaka 50 huyo ni mtu wa makamo, labda ni mgonjwa.
 
Alazwe anapostahiri
Alikwenda kutimiza haki ya msingi
Ya kuchagua/kuchaguliwa.
 
Unajua hii ni lugha ya kenya may be..mke/ Mwanamke anaitwa bibi..otherwise we need to change our lifestyle zinatuzeesha mapema

nadhani tatizo ni lugha tu .....angalia pia radhima...nahisi alimaanisha lazima!

bibi alitakiwa kusema aumwa hivyo apishwe ama apewe kiti apumzike kusubiri msururu uishe. ama twaweza sema siku ya kiama chake ilifika.
 
Kweli my dear..tuelewe hivo hivo.
 
Ahahaha bibiiiii. Mimi nna miaka 35 naonekana kakijana kadogo sasa yule dada yangu wa 1961 namwita bibi leo. Na mama je?
 
Bibi wa miaka 50 ameanguka baada ya kusimama kwa muda mwingi akiwa anasubiri time yake ya kwenda kupiga kula alipofikishwa hospital alikuwa ameshaaga dunia.
Ni kitu gani tunajifunza hapo? Huyo bibi walishwndwa kumpisha ni utalatibu gani ambao wazee na walemavu wameekewa ni radhima tuwape vipaumbele, wote tuna haki sawa ya kupiga kula
Inasemekana ni bibi wa miaka 72 sio 50
 
First Aid kits/ stalls Africa ni bonge la anasa, pamoja na fire extinguishers.
 
Inasemekana ni bibi wa miaka 72 sio 50

Pamoja na ufafanuzi huo ni lazima tujue tofauti zilizopo katika matumizi ya Kiswahili kati ya Tanzania na Kenya vinginevyo siku moja inaweza kuzusha vita kati ya nchi hizi: nchini Kenya, neno 'bibi' linatumika kumaanisha (1) mwanamke, (2)mke wa mtu (Mrs), na (3) mwanamke mzee.
Kwa upande wa grandma wanatumia zaidi 'nyanya'.
 
Back
Top Bottom