M.Kwidohya
Member
- Feb 18, 2013
- 61
- 7
Miaka 50 anaitwa bibi? Au nimekosea!! Yes anaweza kuwa na wajukuu kwa wale waloolewa mapema!! Ila kwa hapa bongo 50 years ni vijana kabisa!!
miaka 50 huyo ni mtu wa makamo, labda ni mgonjwa.Bibi wa miaka 50 ameanguka baada ya kusimama kwa muda mwingi akiwa anasubiri time yake ya kwenda kupiga kula alipofikishwa hospital alikuwa ameshaaga dunia.
Ni kitu gani tunajifunza hapo? Huyo bibi walishwndwa kumpisha ni utalatibu gani ambao wazee na walemavu wameekewa ni radhima tuwape vipaumbele, wote tuna haki sawa ya kupiga kula
miaka 50 huyo ni mtu wa makamo, labda ni mgonjwa.
Unajua hii ni lugha ya kenya may be..mke/ Mwanamke anaitwa bibi..otherwise we need to change our lifestyle zinatuzeesha mapema
nadhani tatizo ni lugha tu .....angalia pia radhima...nahisi alimaanisha lazima!
bibi alitakiwa kusema aumwa hivyo apishwe ama apewe kiti apumzike kusubiri msururu uishe. ama twaweza sema siku ya kiama chake ilifika.
Wenzetu lugha ni ngumu so jst undrstnd tu
Inasemekana ni bibi wa miaka 72 sio 50Bibi wa miaka 50 ameanguka baada ya kusimama kwa muda mwingi akiwa anasubiri time yake ya kwenda kupiga kula alipofikishwa hospital alikuwa ameshaaga dunia.
Ni kitu gani tunajifunza hapo? Huyo bibi walishwndwa kumpisha ni utalatibu gani ambao wazee na walemavu wameekewa ni radhima tuwape vipaumbele, wote tuna haki sawa ya kupiga kula
Inasemekana ni bibi wa miaka 72 sio 50