Pre GE2025 Bibi wa miaka 74 apewa bajaji na Tv na RC Makonda

Pre GE2025 Bibi wa miaka 74 apewa bajaji na Tv na RC Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mkuu wa Mkoa wa Arusha , ameahidi kutoa Bajaji mpya na runinga kwa Bi. Arafa Yusuph Matoke (74),ambaye ni miongoni mwa maelfu ya wanawake wanaoshiriki shamrashamra za kuelekea Kilele cha siku ya wanawake Machi 08, 2025.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Makonda aingia Mtaani usiku Kuuza Uji shamrashamra kuelekea siku ya Wanawake


Kwenye viwanja vya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo Machi 02, 2025 kunapofanyika shamrashamra hizo pamoja na msaada wa kisheria wa Mama Samia, Bi. Arafa amekuwa miongoni mwa walioshiriki michezo mbalimbali kwa wanawake ikiwa ni pamoja na kukimbia na gunia.

 
Back
Top Bottom