Bibi wa miaka karibu 70 anapolilia apigwe mtama!!

Bibi wa miaka karibu 70 anapolilia apigwe mtama!!

Watatoa heshima kwa baba yao mlezi wa wakati huo!.
Mbona tunawaheshimu walioolewa na baba zetu japo wanakuwa ni wadogo zetu?.

Kyaiyembe tuna vitu vingi tunaviheshimu lakini havina maana.........
 
Last edited by a moderator:
Hii kali kwelikweli

Wa Ndima haya mapambano ya mfume dume na kudai "tunaweza" sasa tunaanza kuona matunda yake. Hata yale ambayo mfume dume hujivunia wakati ni uppuzi mtupu na waasisi wa mfume jike wanayakumbatia sasa tunaruka nini na tunakanyaga nini...........????????????
 
Last edited by a moderator:
The older the wine the better it gets

Ntemi Kazwile can a human being be comparable to an old wine..............how low human values have now succumbed to?
 
Last edited by a moderator:
[h=2][/h]
human values ni universal?

Kongosho you have said right.....but the question remains which values..........should we cherish with all our hearts?
 
Last edited by a moderator:
Na hapo ndipo tunapata shida ya ni yapi ya kutunza na yapi ya kuachana nayo katika mapokeo tuliyonayo mpaka sasa!.

Kyaiyembe hapa mwenye busara na punguani hujitenga.....................akili kumkichw..............a
 
Last edited by a moderator:
Kibaya ni kuwa wapumbavu wachache wakianzisha vitabia vyao wajinga wengi wanaiga haraka mno!.
Matokeo inaonekana ni tabia ya jamii nzima.

Kyaiyembe.............u are spot on
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom