MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
Angepata VP matibabu?Kwa nini alikubali ikiwa hataki kuchanja?
Kwa hizi roho mbaya na Ndo maana mnakufa mkiwa vijanaSasa akachanje nani Kama Bibi yako nae hataki Kuchanja?Kwa umri huo nini amebakisha na anaogopa hapa Duniani?
Ulitaka asichanje ili wasimpe matibabu?Wadau naomba kujua Kama Hospitali za serikali kwenye maeneo yenu zina huu Utaratibu. Bibi yangu Alikuwa hajisikii vzr, wajukuu zake wawili wakampeleka AMANI HOSPITALI. walimuuliza Bibi ushachanjwa? Akawaambia Bado, wakamwambia hadi achanjwe ndo wamtibu. Ilibidi achanjwe hapohapo. Kumbe hii kitu ni kulazimishana kiac hii. Makwenu huko kukoje?
Kwenye vituo vyote vya kutoa huduma za matibabu za umma kwa sasa kabla ya kupewa huduma habari ya chanjo ndiyo inayotangulia sasa sijui ukikataa unapewa tu matibabu au unakataliwaWadau naomba kujua Kama Hospitali za serikali kwenye maeneo yenu zina huu Utaratibu. Bibi yangu Alikuwa hajisikii vzr, wajukuu zake wawili wakampeleka AMANI HOSPITALI. walimuuliza Bibi ushachanjwa? Akawaambia Bado, wakamwambia hadi achanjwe ndo wamtibu. Ilibidi achanjwe hapohapo. Kumbe hii kitu ni kulazimishana kiac hii. Makwenu huko kukoje?
Chanjo ni sehemu ya matibabuKwenye vituo vyote vya kutoa huduma za matibabu za umma kwa sasa kabla ya kupewa huduma habari ya chanjo ndiyo inayotangulia sasa sijui ukikataa unapewa tu matibabu au unakataliwa
Duh. Kumbe. Hali teteKwenye vituo vyote vya kutoa huduma za matibabu za umma kwa sasa kabla ya kupewa huduma habari ya chanjo ndiyo inayotangulia sasa sijui ukikataa unapewa tu matibabu au unakataliwa
Hii ya kwake ni mbaya pro max.Kwa hizi roho mbaya na Ndo maana mnakufa mkiwa vijana