Bibilia inasema "wanaume wote ni waongo"

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Tuishi nao kwa akili hawa viumbe ni waongo. Kati ya maneno kumi wanayoongea neno la ukweli ni moja tu au yote yanaweza kua ya uongo. Bibilia yenyewe imewanyooshea mikono inasema wazi wazi kua wanaume wote ni waongo.

Miongoni mwa mistari hiyo ni Psalms 116:11 na Romans 3:4
images (48).jpeg
images (49)~2.jpeg
images (50)~2.jpeg
 
"Men" inatumika mara nyingi kama jumuisho la wanadamu wote.

Sio vibaya ukasoma kuhusu utapeli wa wanawake pia:
 
Ina maanaisha usiwamini mtu yeyote, ila Mungu pekee

Even when I was distressed/worried and said, “I cannot trust anyone,”
I continued to trust in Yahweh.
Psalms 116:11
 
Hivi Kuna Watu humu Bado wanakiamini hicho kijarida Cha BULICHEKA?
 
Story zote zilizoandikwa kwny Biblia na Quran Ni uzushi wa Watu wa kale kuwapumbaza wenzao.

1. Kuna shehe anawaonea wivu wapalestina wanaofia vitani, akiamini wanaenda kuwatafuna mabikra 72. Nmemwambia aende TU pale somalia, mabikra atawapata chap
YAAN PEPONI KWAO CHA MAANA ZAIDI YA NGONO TUPU

2. Kuna padri mstaafu jwtz anakesha anaiombea Israeli iiendelee kufyeka majiran zake. Namuuliza vipi ile vita ya kagera nao wayahudi waliiombea tz? Hana majibu.

HIZI DINI ZIMEGEUKA MADAWA YA KULEVYA, ZINATUHARIBIA JAMII YETU.

Unakuta ni mtu mzima anaejiheshimu, Ila akishazama kwny dini, akili yake yote inakua Kama Zombi kabisa.

UWEZO WAKE WA KUFIKIRI UNAKUFA KABISA, HANA TOFAUTI NA MSUKULE
 
Unaamini Mungu yupo?
 
unajitahid kutaka kututetea wanawake humu jf,ila hapo umechochora,tafta andiko lingine.
 
Back
Top Bottom