Hata mimi nimemuambiaZaburi 116:11 (KJV) Mimi nalisema kwa haraka yangu, Wanadamu wote ni waongo.
Men hujumuisha wanadamu wote sio mwanaume pekee
Uko sawa. Kwanza alelewe hakuna sehemu yoyote mwanamke kahesabiwa kwenye biblia.Hata mimi nimemuambia
Huyu ameanza kusoma bible juzi
DeepPond, DeepPond,DeepPondHivi Kuna Watu humu Bado wanakiamini hicho kijarida Cha BULICHEKA?
Unaamini Mungu yupo?Story zote zilizoandikwa kwny Biblia na Quran Ni uzushi wa Watu wa kale kuwapumbaza wenzao.
1. Kuna shehe anawaonea wivu wapalestina wanaofia vitani, akiamini wanaenda kuwatafuna mabikra 72. Nmemwambia aende TU pale somalia, mabikra atawapata chap
YAAN PEPONI KWAO CHA MAANA ZAIDI YA NGONO TUPU
2. Kuna padri mstaafu jwtz anakesha anaiombea Israeli iiendelee kufyeka majiran zake. Namuuliza vipi ile vita ya kagera nao wayahudi waliiombea tz? Hana majibu.
HIZI DINI ZIMEGEUKA MADAWA YA KULEVYA, ZINATUHARIBIA JAMII YETU.
Unakuta ni mtu mzima anaejiheshimu, Ila akishazama kwny dini, akili yake yote inakua Kama Zombi kabisa.
UWEZO WAKE WA KUFIKIRI UNAKUFA KABISA, HANA TOFAUTI NA MSUKULE
Aliekudanganya duniani Kuna dini mbili nani?Unaamini Mungu yupo?
aaamen🙏😊DeepPond, DeepPond,DeepPond
Nimekuita mara tatu kuamini(IMANI) ni personal issues
JUMAPILI NJEMA MTUMISHI
Tuishi nao kwa akili hawa viumbe ni waongo. Kati ya maneno kumi wanayoongea neno la ukweli ni moja tu au yote yanaweza kua ya uongo. Bibilia yenyewe imewanyooshea mikono inasema wazi wazi kua wanaume wote ni waongo.
Miongoni mwa mistari hiyo ni Psalms 116:11 na Romans 3:4
View attachment 3116593View attachment 3116595View attachment 3116596
Hujajibu swali.Aliekudanganya duniani Kuna dini mbili nani?
Mungu yupoHujajibu swali.
Habari zake ulizijuaje?Mungu yupo
Zipo nyingi.Aliekudanganya duniani Kuna dini mbili nani?
Usituletee biblia ya kibahaula hapa. Biblia takatifu haina maandiko hayaTuishi nao kwa akili hawa viumbe ni waongo. Kati ya maneno kumi wanayoongea neno la ukweli ni moja tu au yote yanaweza kua ya uongo. Bibilia yenyewe imewanyooshea mikono inasema wazi wazi kua wanaume wote ni waongo.
Miongoni mwa mistari hiyo ni Psalms 116:11 na Romans 3:4
View attachment 3116593View attachment 3116595View attachment 3116596