Bible Error: Mwanzo 1:1-3a Kosa kubwa la Milenia, kutafsiri kutoka kwenye lugha ya Kiebrania

Mathayo 28:19

Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Hio aya inazungumzia kubatiza watu sio kuabudi hivyo vitatu hapo nyie mnasomaje biblia, wala biblia haiafiki kuabudu hivyo hayo ni maelezo namna ya kubatiza
 
Hongera kiongozi kwa kujua kiebrania
 
Despite its plural form, Elohim is perceived as a singular term. According to Genesis, Elohim is considered a monotheistic term despite its polytheistic grammatical structure.
Yes, that's correct! The Hebrew word Elohim (אֱלֹהִים) is grammatically plural but is often used in the Hebrew Bible to refer to the one true God in a singular sense.
Ivi MUNGU nalo ni jina la MUNGU au ?
 
Hiyo ni tafsiri sahihi kwako.

Mimi naweza kuja na yangu na ikawa sahihi kwangu.


'When God began creating the heavens and the earth, the earth was a shapeless, chaotic mass, with the Spirit of God brooding over the dark vapors.

Elohim ndio unakuja sasa kuipata pale Mungu anaposema, NA TUFANYE. Katika wingi, zile nafsi tatu za uungu.

Kwa ujumla haya mambo ni imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…